Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Poch mishavu alitushika wapi shehe mbona unakuwa muongomuongo aisee🤠🤠...halafu unasema tutafute wachezaji wa maana nitajie mchezaji mmoja tu wa kikosi chenu anayeweza kupata namba kwny kikosi chetu cha kwanza....kuna tofauti kubwa kati ya mtu aliyemaliza ligi wa pili na aliyemaliza wa Saba sijui nane huko....TAfuteni wachezaji wa kueleweka safari hii sio Tano ni wiki kabisa tutawadunda
Wachezaji wa maana ni rice ambaye akigusa mpira anatetemeka mpaka washabiki wa england tunashika vichwa ni boko kwa boko
 
Mbona kama upo high bro? Acheze miaka mitatu ya nini yote hiyo? wakati dk.3 zinamtosha kutoa Assist wakati Saka dk. 90 alikua anaruka ruka tu.

Nyie huwa hamjielewi, huwa mnasemaga hivyo hivyo, ila mchezaji akitoka chelsea akija Arsenal anakua starter panga pangua. Mpka huyo miss Havertz tuliokua tunamtukana nyie mnamuona eti bonge la mchezaji.

Muombe mungu tu huyo kocha wa chelsea asiweze kuwaunganisha ile michezaji, akiweza aisee....
Tuombe Dua ashindwe kuwaunganisha kivipi tena Bro🤠🤠...sisi tunataka aweze kuwaunganisha yule Veiga na Disasi wasomane vzuri kabisa halafu tukutane....nyny mmeshakuwa klabu ya biashara rasmi....ila mpk mkija kustuka itakuwa too late...Manyumbu yanajitahidi kusajili ndo maana yameamua kumbakisha na Babu Evans amalize mkoba pale nyuma🤠🤠
 
Sisi Chelsea mabingwa wa kihistoria wa london ,
Tukikutana na hizi Kenge Arsenyetoz msimu huu ,tutapiga kama tunaua nyoka .
Tuna hasira sana na hizi Kenge
 
Game la kwanza mumshukuru golikipa aliwazawadia goli mkaambulia droo. na ndicho kinachowapa midomo.

Embu nipe utofauti, labda kuna kombe mlilopata. yaani nyie mashabiki wa Arsenal mna kaulimwengu kenu kakujitengenezea furaha ambayo haipo.

Unataka nikutajie au unajifanya na ww ni kichwa ngumu kama Southgate.
Mkuu, simple comparison tu.
Arteta ana miaka 6 arsenal, tunaomba walete mafanikio ya arsenal kwenye hiyo miaka 6 (kama sio kucheza mpira nzuri, nipeleke segerea) na Chelsea wekeni mafanikio ndani ya hiyo miaka 6.
 
Tofauti ya mafanikio katika kipindi cha miaka 6 iliyopita kati ya Chelsea na Arsenyau ni mbingu na nchi.

Arsenyo huwenda akafikisha hata miaka 100 mbele bila kufikia mafanikio waliyopata Chelsea kwa miaka 6 iliyopita.

Chelsea won in the last 6 yrs
-FA Cup Winner 2018
-Europa League Winner 2019
-Champions League Winner 2021
-FIFA Club World Cup winner 2022.
-UEFA Supercup Winner 2022

Arsenyau yeye mafanikio yake ni kujisifia anacheza mpira mzuri, ubaya FA hua hawatoi kombe la mpira mzuri, huo mpira mzuri mid table teams kibao kama kina Brighton, Aston Villa na wengineo wanacheza na wala hatuwaoni mashabiki wao wakishupaza shingo kama hii misukule Pro-Max ya Arteta.
1720854287240.jpg
 
Wakati wenzao tunajibebea tu makombe kila msimu, halafu hawa mahopeless, trophyless, shameless wanaishia kudanganyana tu humu na endless phases
1720854138335.jpg
 
Duuuh

Aston Villa wameweka more than £50m kumbeba Onana wa Everton

Ornstein na Fabrizio
 
Duuuh

Aston Villa wameweka more than £50m kumbeba Onana wa Everton

Ornstein na Fabrizio
Sijajua Arteta na Edu wamelenga wapi
Ukweli Ni kuwa Kuna mashine tata Kama 3 lazima zitue
 
Sisi Chelsea mabingwa wa kihistoria wa london ,
Tukikutana na hizi Kenge Arsenyetoz msimu huu ,tutapiga kama tunaua nyoka .
Tuna hasira sana na hizi Kenge
tulifanya kosa kubwa sana kuwagusa zile 5
ilitakiwa nyie mpigike kuanzia 7 ndo mngekuwa na adabu
ila sio mbaya, msimu mpya huu hapa umekaribia wa kocha
kulaumiwa
 
Heshima yako mkuu.
Vyovyote utakavyosema, Chelsea itabaki kua inspiration kwenu mashabiki wa arsenal 😂😂😂. Mtaongea sana kwenye majukwaa lakini tunajua kua chooni, vyumbani au mabafuni mnajiambia kua siku tukija kubeba makombe kama Chelsea itakua unyama sana.
 
Tofauti ya mafanikio katika kipindi cha miaka 6 iliyopita kati ya Chelsea na Arsenyau ni mbingu na nchi.

Arsenyo huwenda akafikisha hata miaka 100 mbele bila kufikia mafanikio waliyopata Chelsea kwa miaka 6 iliyopita.

Chelsea won in the last 6 yrs
-FA Cup Winner 2018
-Europa League Winner 2019
-Champions League Winner 2021
-FIFA Club World Cup winner 2022.
-UEFA Supercup Winner 2022

Arsenyau yeye mafanikio yake ni kujisifia anacheza mpira mzuri, ubaya FA hua hawatoi kombe la mpira mzuri, huo mpira mzuri mid table teams kibao kama kina Brighton, Aston Villa na wengineo wanacheza na wala hatuwaoni mashabiki wao wakishupaza shingo kama hii misukule Pro-Max ya Arteta. View attachment 3041009
Sjui Wana moyo gani Hawa watu lakini. Miaka 6 unakaa na kocha alafu useme anacheza mpira mzuri na kwenye kabati kumejaa utando wa buibui.
Kuna club huyu kocha wao hamalizi Christmas mbili
 
Mimi sitaki kuamini kwamba Xhaka huyu wa Euro, ni bora kuliko yule wa Euro 2020 ambapo Uswizi wanakufa kwenye matuta dhidi ya Spain, ROBO FAINALI

Ila, amekuwa mzuri machoni mwa watu, baada tu ya kuondoka ARSENAL

RICE, amekuwa mbaya machoni mwa mashabiki wa England na waandishi wa habari, akiwa amevaa jezi ya ARSENAL

Sio mchezaji, ni timu. It's fine that people hate us.Its part of our history

Kuna vitu wanaandikaga wadau humu, kwa haraka haraka unaweza sema wanaandika kisoka. Kumbe, ni katika harakati zao za kuichafua Arsenal

Mdau aliandika hivi kwenye uzi wa EURO 2024

Screenshot_20240713_224831_Samsung Internet.jpg

Ukipiga jicho la haraka haraka, kama kweli vile. Lakini ukitulia, inakuja kugundua lengo ni kumponda Rice, hence Arsenal.England chini ya kiungo "MBOVU" Rice wamefanya haya

2019 UEFA NATIONAL LEAGUE: 3RT PLACE

2021 EURO, FAINALI

2022 ROBO FAINALI

2024 EURO, FAINALI

20240713_225724.jpg
 
Kuna vitu wanaandikaga wadau humu, kwa haraka haraka unaweza sema wanaandika kisoka. Kumbe, ni katika harakati zao za kuichafua Arsenal

Mdau aliandika hivi kwenye uzi wa EURO 2024

View attachment 3041706

Ukipiga jicho la haraka haraka, kama kweli vile. Lakini ukitulia, inakuja kugundua lengo ni kumponda Rice, hence Arsenal.England chini ya kiungo "MBOVU" Rice wamefanya haya

2019 UEFA NATIONAL LEAGUE: 3RT PLACE

2021 EURO, FAINALI

2022 ROBO FAINALI

2024 EURO, FAINALI

View attachment 3041710
Hivi nyie kondoo mmerogwa hivi unailinganisha hiyo takataka na Rodri?
Kwa hiyo Rice ndio kaifikisha England final siyo??
Ngoja final hiyo takataka itakavyopotezwa ndio mtaacha ushabiki wa kiduanzi.
 
Hivi nyie kondoo mmerogwa hivi unailinganisha hiyo takataka na Rodri?
Kwa hiyo Rice ndio kaifikisha England final siyo??
Ngoja final hiyo takataka itakavyopotezwa ndio mtaacha ushabiki wa kiduanzi.
Hakujawahi, na hakutowahi kutokea USHABIKI WA KIDUANZI, kama kutaja KONATE AANZE FRANCE MBELE YA SALIBA

Hakuna uduanzi mkubwa kama kutaka one of top three right winger, BUKAYO SAKA arudi namba tatu ili kumu accommodate PALMER.
 
Sjui Wana moyo gani Hawa watu lakini. Miaka 6 unakaa na kocha alafu useme anacheza mpira mzuri na kwenye kabati kumejaa utando wa buibui.
Kuna club huyu kocha wao hamalizi Christmas mbili
Brighton ya De Zebr ilikua inacheza mpira mzuri kuliko wao, lakini mpira mzuri bila ya kubeba kombe lolote wamejionea ni upuuzi mtupu wakatimua mpaka kocha mwenyewe, ila hizi kima unaenda mwaka wa 6 sasa hivi bado wanaifuga hio Tetea yao na kudanganyana humu kua GD yao ya msimu ulioisha ilikua kubwa kuliko ya Madrid kwenye La liga + Uefa, hivyo mafanikio yao msimu ulioisha yalikua ni zaidi ya mafanikio ya Real Madrid

1720854168366.jpg
 
Tofauti ya mafanikio katika kipindi cha miaka 6 iliyopita kati ya Chelsea na Arsenyau ni mbingu na nchi.

Arsenyo huwenda akafikisha hata miaka 100 mbele bila kufikia mafanikio waliyopata Chelsea kwa miaka 6 iliyopita.

Chelsea won in the last 6 yrs
-FA Cup Winner 2018
-Europa League Winner 2019
-Champions League Winner 2021
-FIFA Club World Cup winner 2022.
-UEFA Supercup Winner 2022

Arsenyau yeye mafanikio yake ni kujisifia anacheza mpira mzuri, ubaya FA hua hawatoi kombe la mpira mzuri, huo mpira mzuri mid table teams kibao kama kina Brighton, Aston Villa na wengineo wanacheza na wala hatuwaoni mashabiki wao wakishupaza shingo kama hii misukule Pro-Max ya Arteta. View attachment 3041009
Mwamba anavyoandika kwa uchungu, kana kwamba ana nia nzuri na Arsenal. Sisi sote tunaijua Arsenal yetu ilipotoka, na ilipo sasa hivi. Kelele zote hizi ni kwa sababu wanaogopa kinachokuja kuwatuka misimu ijayo.Yes, kinachokuja kuwakuta.

Klopp, anapewa Liverpool October ya 2015, iliyomaliza nafasi ya 6 msimu wa nyuma na kwenda Europa League. Klopp anawapeleka Liver fainali, na kushika nafasi ya 8 EPL. NO TITLES

Misimu wa pili wa Klopp, 2016/2017, anashika nafasi ya 4 EPL, timu inaenda UEFA CHAMPIONS LEAGEA KWA MARA YA PILI NDANI YA MIAKA SABA. Yani from mwaka 2009 mpaka 2017, Liverpool imeshiriki UCL mara Moja tuu, msimu wa 2013/2014. Klopp anawapeleka kwa mara ya pili 2017/18. NO TITLES

Msimu wa tatu wa Klopp, 2017/2018, NO TITLES

Anaanza kupata mafanikio msimu wa nne, 2018/19

Huyu Klopp tunayemzungumzia hapa, ni experienced coach wakati anakuja Liverpool, tofauti na Arteta ambaye ndio timu yake ya kwanza kuimanage.

Mwaka 2019, December, Arsenal wanamchagua Arteta kuwa kocha.

Msimu wa kwanza, Dec 2019 to May 2020, FA CUP.

2020/21 COMMUNITY SHIELD

2021/22 NO TITLES, Huku timu inaendelea kujengwa

22/23, 2nd Place EPL (kwa timu ilipotoka, hii ni ishara mwelekeo wa timu ni mzuri)

23/24, COMMUNITY SHIEF, Timu inarudi UCL, 2nd Place EPL

Kwa akili iliyosalimika, ukiangalia hiyo safari ya Arteta, unaona kabisa Arteta kuna kitu kinakuja. Hiki kitu kinachokuja, akina FLANO na MKOHOTI wanahofia yasije yakawa kama ya Klopp, EPL na UCL. Hapa ndo msingi wa kelele zao unapoanzia
 
Back
Top Bottom