arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Waje wamchukue🤠🤠....kwni unafikiri Mudryk ni mbaya basi....anavyocheza kule Chelsea anawakomoa kwa kiherehere cha kumchukua wakati alikuwa hawataki....sasahivi akipewa jezi yy anachojua ni kutoka nduki tu...halafu mpira utamfataSmartphone mnanunua za nini, kuangalia porn?
Dili limeingia mkosi, Chelsea wame hijack. Pesa ndefu kwa klabu na mchezaji.