Nawaona manyumbu huko kwenye mitandao mingine bado wanamuandama Saka kwamba eti yeye ndio aliyesababisha lile goli la pili kwa kumuachia mwanya cucurella akapiga ule mpira mrefu uliozaa goli.
Wanasahau kwamba Saka alikuwa na kazi kubwa sana ya kushambulia na muda huo huo kukaa karibu na Nico william kumsaidia Walker, maana Walker peke yake tu alionekana hamuwezi yule dogo, mbali na hivyo pia Saka alihusika kwenye build up ya goli walilopata England.
Halafu walivyokuwa wanafiki kuna hiki kitoto chao ambacho walikiimba sana baada ya kushine kwenye mechi mbili tu, mechi ya jana kilikuwa kina slow down mipira tu, pass karibu zote kilizopiga kwenda mbele hazikuzaa matunda kwa sababu ya timing mbovu... lakini hatuwaskii kabisa wakikiongelea jinsi kilivyo flop, wao wanakomaa na Saka tu.

|| Arsenal
are reportedly now prepared to pay the requested £86m, to Sporting CP
for Viktor Gyökeres
[Via - @StandardSport / @LeoninoPT].