toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,428
- 2,813
Naaam mkuu.watajuta kuijua arsenal.halafu kitu ambacho mashabiki wengi wa arsenal hawawezi kukiri ni juu ya sababu ya wao kuipenda arsenal.MAUMIVU MARA MBILI
MAUMIVU KUTOKA TIMU ZAO + MAUMIVU KUTOKA ARSENAL
90% ya mashabiki walifuata mpira mzuri na burudani halafu makombe yakawakuta hukohuko.kwahiyo kwangu mpira mzuri ni sehemu ya fantasy yangu kwa arsenal