Mkuu umenena la maana sana. Miaka miwili mfulilzo 85% ya msimu, tupo zetu na furaha mia mia. Wakati huo mashabiki wa timu pinzani wanapata maumivu mara mbili.
Moja, ya timu zao kuboronga, mbili ya Arsenal kufanya vizuri. Ndo maana unawaoma wanajaa humu muda wote, kupunguza msongo wao wa mawazo kwetu.
Mfano, sasa hivi, ligi zimeisha, sisi Arsenal wenyewe tushasahau ya msimu ulopita, lakini wao sasa.
Tupo zetu tunasikilizia anakuja nani kati ha Sesko, Gyokeres au Osimnhen huku tunakunja nne.
View attachment 3009595