Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,740
😂😂😂sawa sawa, tukutane uwanjani tuonyeshane ubabe
😀 😀
😂😂😂sawa sawa, tukutane uwanjani tuonyeshane ubabe
😀 😀
Vipi, tumchukue?
Tumuache kwanza tuone nani atamfuata. Chelsea ipoVipi, tumchukue?
Pep anajua kucheza na akili za nyie viazi. Kazi kufuga kifaa cha kukalia.Pep Guardiola pointed to Arsenal and Mikel Arteta as an example of why not winning a trophy as a manager of a big club does not necessarily mean you should be deemed as a “failure”.
Guardiola’s Manchester City side beat Arsenal to the Premier League title for the second season running following their final day win over West Ham, finishing two points clear of the Gunners.
They take on rivals Manchester United in the FA Cup final on Saturday looking to do the Premier League and FA Cup double for the second year running.
United boss Erik ten Hag is under significant pressure heading into the final following a disappointing second season at the club in which the club finished eighth in the Premier League.
And following the news that the boss of Guardiola’s former club Barcelona, Xavi, had been sacked, the City boss says current managers are at a high risk of losing their jobs if they do not win, regardless of their past achievements.
“In our job you have to win, otherwise you are in a dangerous position,” he said,
“Whatever club, no matter your trajectory, no matter if it is new or old, you have to win and do a good job and be good with many things otherwise it happens unfortunately.
“But people have to understand just one win can win. All the others are failures? I don’t think so, honestly.
“I would not feel like a failure if I did not win the Premier League and I think Arsenal do not feel that because they performed incredibly.
“But our job is what it is. If you don’t accept that, it’s better you don’t do this job.”
We jamaa kubwa Zima unajiita dogo. Kwahiyo hata kombe la Dunia 2010 South Africa haujaangalia.Yess Kwa miaka hio 2007 Kwa mim niliishi tofauti kidogo ...
Nyumbani Hakuna tv ya kuangalia mpira ,labda movie ya kutumia mikanda .......
Nachungwa nyumbani ,napewa Kazi za kuosha vyomba ,kufagia uwanja,kutumwa sokoni ..
Ukirudi nyumbani saa mbili Ni fimbo, ,...
Mipira ya ulaya ilikuwa inaoneshwa usiku ,Mara nyingi ,......Rudi nyumbani saa moja uone kichapo utakachokutana nacho ..
Access ya mpira ilikuwa inawafavour wakubwa kuangalia kuliko Sisi madogo ... Kwa wakati huo ,ndio maana mim mpaka nilipofikisha umri WA kuwa huru home ndio nilianzia kuangalia mpira sasa .....
Umeme wenyewe ulikuwa WA generator,hata wanapoonesha mpira ,kujua tu ratiba Kwa dogo kama mim ilikuwa ngumu ...
Dogo kama mim kukomaa kwenye Banda eti naangalia mpira Tena jenereta imewashwa saa tatu usiku ,kudadeki utasikia mle kibanda umiza " hivi Huyo dogo Ni WA Mzee Nani ,Kwan hajui kama kesho Ni Shule anakaa humu mpaka sasa NNE usiku😂" baba yako akisikia ulikuwa unakula kichapo ,kiufupi ilikuwa kama haramu kajichanganya na wakubwa et unaangalia mpira ....
Wewe kama ulikuwa unaangalia mpira ukiwa na miaka 8 au 9 ya ulaya ,iliyokuwa inacheza usiku ,basii Ni malezi yenu ....
Ten Hag hafukuzwi? United inaweza kumfaa.Tumuache kwanza tuone nani atamfuata. Chelsea ipo
Final na city inaweza kutoa majibuTen Hag hafukuzwi? United inaweza kumfaa.
Hata hatushangai kwa ubovu wa kocha wako, lilikuwa swal la mda tu kutimuliwaNyie KENGE mje kwa wingi kushuhudia tunavyomchanachana huyu mwanaume wenu.
Tunabeba ndoo na kocha tunamtimua ndio ajue timu kubwa maana yake nini. Arteta atakaa hapo hata miaka 10 bila kombe lolote na hakuna wa kumfanya kitu.View attachment 2998730View attachment 2998731
Paqueta mtaalamu sana sikuping jama anapiga position zaidi ya tatu,, mpka dm.arsenal iangalie upatikanaji wa wachezaji hawa wawili wote kwa pamoja.. ni wachezaji ambao wataongeza upana wa kikosi kwa % kubwa tu.
karim adeyemi wa BVB na lucas paquetá kutoka west ham.
Nyie KENGE mje kwa wingi kushuhudia tunavyomchanachana huyu mwanaume wenu.
Tunabeba ndoo na kocha tunamtimua ndio ajue timu kubwa maana yake nini. Arteta atakaa hapo hata miaka 10 bila kombe lolote na hakuna wa kumfanya kitu.View attachment 2998730View attachment 2998731
arsenal iangalie upatikanaji wa wachezaji hawa wawili wote kwa pamoja.. ni wachezaji ambao wataongeza upana wa kikosi kwa % kubwa tu.
karim adeyemi wa BVB na lucas paquetá kutoka west ham.