IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,812
- 7,277
Fukuzeni Arteta
tutawapostia picha za ubingwa wa FA hapa wiki nzima.
Hawa KENGE mwaka huu watauona mchungu.tutawapostia picha za ubingwa wa FA hapa wiki nzima.
Vipi mmepiga?Oya wanangu wa Arsenal leo lazima tupige hawa Mayatima wa Ferguson [emoji123]
Yani mwezi mzima huu wanajisifu kuwa watatufunga.
Hebu leo tuwazibe mdomo [emoji1782]
Hamis77 atawalaani we Flano na AllyPipi, au hutaki wachaambuzi waseme Arse8 vile inavyo-press, drible, keep ball possession na strikers wao hatari Havertz & Jesus? Shauri zenu ohooo...[emoji1732][emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji1787] msimu huu Liverpool kabeba kombe, Mancity Epl, Man Utd tumechukua FA halafu ndugu zetu Arseno wapowapo tu kama mazezeta, kila msimu wenyewe kazi yao ni kuwasindikiza wenzao.
Tafuteni kocha wa kueleweka ndugu zangu, Arteta hatusemi ni kocha mbaya hapana, huyo ni kocha mzuri kwa timu za Academy ila kwa first league kila msimu mtakua wasindikizaji[emoji16][emoji16][emoji16]
Xavi ana misimu miwili tu na Barca na kawapatia mpaka La Liga lakini wamemtimua kwa kuona hatoshei kwa timu inayojielewa, nyie mnaendelea kumkumbatia Failure halafu mnadanganyana humu kua ni Masterclass kumbe ni Masturbation.
Msimu wa 5 huu mnatoka mikono mitupu na huyo Masturbation wenu halafu mnadanganyana humu na Corona Cup[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2999320
we will always be here to collect arsenal's fans tears
Bahati FC[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hivi Arsenyo msimu huu mlikua mnashindania nini???
Ndugu yangu Masingeli na chawa wake mkorea na arsenal2004 sijui hata wana hali gani huko waliko[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2999370
Unajua kuna muda nilifikiria ivi hawa mashabiki wa arsenal huwa ni vichaa ama ni upofu wa macho na akili nikafika hitimisho ni false hope ndani ya mioyo yaoLabyrinth amekuwa kimya. Mbona hajatuambia Newcastle wameshaanza preseason?
Newcastle United thrashed 8-0 by A-League All Stars in Melbourne as post-season tour ends on low note
Na je, nini hatma ya timu yake katika mashindano ya Ulaya baada ya Manyumbu kubebe FA?