Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
We jamaa kubwa Zima unajiita dogo. Kwahiyo hata kombe la Dunia 2010 South Africa haujaangalia.
EPL mechi zote zilikuwa usiku??
We sema umeanza kushabikia mpira
ukubwani.
Kweli saizi mim Ni mkubwa Sana 27+yrs,ila sikubahatika kuiona hio Arsenal nyie mnayosema ya wenga sijui ,Kwa hiyo mkiona sishabikii hayo matimu yenu ya 1990 Ni swala la kawaida Sana ....We jamaa kubwa Zima unajiita dogo. Kwahiyo hata kombe la Dunia 2010 South Africa haujaangalia.
EPL mechi zote zilikuwa usiku??
We sema umeanza kushabikia mpira ukubwani.
Arsenal imepata mashabiki wengi Enzi za Wenger 2000-2003 mnachukua unbeaten kama sikosei ,na kama wewe ulikuwa unaangalia mpira Enzi hizo unatakiwa kuwa shabiki WA Arsenal na uko sahihi ,Sisi ambao hatukuwepo Hatuna sababu yeyote ya kushabikia hili timu .....!!
Yaani sijabahatika kuona hayo matimu yenu mazee mnayoita sijui timu kubwa ,timu kubwa Ni MAN CITY tu ......kama unabisha leta timu yako uwanjan tukuoneshe.......
Ulianza kuleta mambo ya history mim Sina muda WA kugoole mafanikio ya timu flani wakati timu kubwa naiona live kwenye tv week in week out ....
Treble winner Naona live..
4- peat Naona live ...
First pl club to win domestic quadruple....Naona live
Harafu uanze kusema unajua zamin united ilikuwa this ,that and that .....I was not there bro ......au sijui Arsenal was this and this ......sikuwepo budaaa.... believe in yourself