Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Spurs anaweza kufanya maajabuUmemsahau Pep ni shetani wa aina gani?
Sisi tunatakiwa u kujitahidi kushinda mechi zetu ili tujihakikishie kwamaba tumepiga hatua, kwamba msimu huu ni bora kuliko iliyopita. Ila ubingwa ni kitu kisichowezekana katika hali hii.