Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ukisikia CITY inamashtaka ya kikiuka FFP unadhani wanasingiziwa?
Ukisikia serikali ya Qatar imejadili suala hilo na serikali ya Uingereza unadhani ni uongo?
Ukisikia watu wanasema wanaamini City anamakosa lakini pia wanajua kuwa hawatafanywa lolote unafikiri ni kwa sababu City kweli ni wasafi au kwa sababu haki haipo hata kwenye FA?
Au unafikiri ufisadi na uhuni haupo huko nje au unafikiri haki huwa hazikiukwi katika maisha? Au wewe unaishi nchi gani?

Ukweli ni watu wanaamini nyie mmefanya uhuni. Inajulikana dunia nzima pia kuwa hakuna mtachofanywa kwa sababu nyie mnamilikiwa na Qatar na nyie siyo Everton wala Nottingham Forest. Hata wewe ukiamua kukana ukweli, haubadilishi. Usimame kwenye haki au kusiko haki, huu ni mpira tu na kwetu wengi ni burudani tu, ila kwa wengine ni maisha na zaidi ya burudani. Ungekuwa shabiki wa Everton huenda ungeona mambo tofauti ila ndiyo hivyo, wote sisi tuko mbali huku na huenda hakuna kati yetu ajuaye ukweli wa mambo pale Etihad.
Why use such energy kubishana na hao Manufactured fan base.
Hakuna mpira hapo zaidi ya kufurahisha nafsi zao.
 
Mkuu point Ni ile Ile pesa lazima itumike ..

Najua unasema lazima club itafute wachezaji local ambao hawajanunuliwa Kwa pesa nyingi (natural talents) ,wacheze vizuri ,wapate makombe mengi ,wacheze mpira WA kuvutia ,wapate wafuasi wengi Duniani , Ndio wapate sponsorship ya kuwa inawapa pesa nyingi,ndio wapate mishahara Mingi .........huku sababu ikiwa kuwa Hao ndio wanafuata Sheria za mpira Kwa sababu hawajatumia pesa wametengeneza vipaji wenyewe ........huu ndio ulikuwa mpira WA zamani 1990 huko unaousemea ...ambao mashabiki mpaka sasa ndio wanaotaka ...wakiona unanunua talent wanaona kama wewe sio kocha ....

Sasa sikia nikwambia huo mfumo WA kinyonyaji WA kuwafurahisha mashabiki,huku wachezaji wakiwa masikin ndio hauwezi kuona 2024 ....huo Ni upumbavu WA kizaman ndio maana wachezaji wastafu wote WA zaman Ni masikin ........

Kiufupi Hakuna mchezaji anayecheza kutafuta sifa Kwa mashabiki kama zamani , nowadays it's all about money ....

Weka pesa mezani ,nunua mchezaji ,mpe mshahara mnono na bonus ,ndio anacheza mpira mzuri WA kuvutia na kuleta makombe ...kama huna hizo pesa ....tulia wenye nazo watumie ....
Ni sawa, Sijasema pesa haitumiki au haikutumika. Nimesema vilabu vilikuwa vinaitengeneza hiyo pesa vyenyewe, bila kupewa na mabilionea. FA walitaka na wanapenda sana vilabu vijiendeshe kwa pesa zake zenyewe tangu enzi hizo maana pia uchumi unaelewa umuhimu wa 'self-sustaining model', ili kudhibiti vilabu kujiendesha katika hali ya madeni na kuathiri uchumi wa nchi kwa ujumla. Huenda pia hujawahi kusikia sakata la Leeds uniited ilivyokuja kufilisika na kusota kutoka kushiriki champions league mpaka kuozea daraja la pili huko. Unaweza usijue kuwa Leeds ilishatamba Champions League. Matajiri wakaja kubadilidha game kwa kutumia pesa zao binafsi, na kwa kipindi kirefu, ukifanya tafiti, utakuta Arsenal lilikataa mfumo huu. Anyway, ndiyo pesa lazima itumike na hili si suala jipya. Iko hivyo tangu zamani. Ila pesa imepatikanaje?

Ukienda kwenye suala la mishahara, enzi hizo pia kuna wachezaji wakubwa walikuwa wanapata mishahara mikubwa sana tu. Mfano akina Sol Campell na Thierry Henry walikuwa wanakula mishahara ya 120,000 pounds per week, miaka 20 hiyo iliyopita. Unadhani ukiweka factor ya inflation, mishaharaa hiyo itakuwa ni kiasi gani kwa ligi ya sasa? Mpaka sasa kuna wachezaji wa timu kubwa tu wanalipwa 80000/week, yaani chini ya mishahara ya wachezaji fulani miaka 20 iliyopita. Ukiangalia suala la wachezaji kuwa masikini, badili na kusema wachezaji wa zamani wengi wamefilisika. Tambua pia hilo suala la kufilisika kwa wachezaji linatokea kwenye karibia kila mchezo wa kulipwa na sababu kuu ni ukosefu wa elimu ya matumizi ya pesa na uwekezaji ambayo inaathiri wachezaji wengi sana mpaka leo hii. Suala siyo hawalipwi vizuri. Ni wamefanya nini na pesa zao? Mtafute Mathieu Flamini. Amechezea Arsenal na kina Thierry Henry na kina Fabregas. Alikuwa mchezaji wa kawaida tu na hakuwahi kushika mishahara wala madili waliyopata kina Henry. Kina Henry wanafanya punditry saivi. Flamini ni bonge la bilionea. Je David Bekham unamfahamu?
 
Why use such energy kubishana na hao Manufactured fan base.
Hakuna mpira hapo zaidi ya kufurahisha nafsi zao.
Ni mdogo wetu huyu. Tunamuelewesha tu kuwa mambo yalivyokuwa na pia yalivyo sasa ni zaidi ya yeye anavyofikiria.
 
Ni sawa, Sijasema pesa haitumiki au haikutumika. Nimesema vilabu vilikuwa vinaitengeneza hiyo pesa vyenyewe, bila kupewa na mabilionea. FA walitaka na wanapenda sana vilabu vijiendeshe kwa pesa zake zenyewe tangu enzi hizo maana pia uchumi unaelewa umuhimu wa 'self-sustaining model', ili kudhibiti vilabu kujiendesha katika hali ya madeni na kuathiri uchumi wa nchi kwa ujumla. Huenda pia hujawahi kusikia sakata la Leeds uniited ilivyokuja kufilisika na kusota kutoka kushiriki champions league mpaka kuozea daraja la pili huko. Unaweza usijue kuwa Leeds ilishatamba Champions League. Matajiri wakaja kubadilidha game kwa kutumia pesa zao binafsi, na kwa kipindi kirefu, ukifanya tafiti, utakuta Arsenal lilikataa mfumo huu. Anyway, ndiyo pesa lazima itumike na hili si suala jipya. Iko hivyo tangu zamani. Ila pesa imepatikanaje?

Ukienda kwenye suala la mishahara, enzi hizo pia kuna wachezaji wakubwa walikuwa wanapata mishahara mikubwa sana tu. Mfano akina Sol Campell na Thierry Henry walikuwa wanakula mishahara ya 120,000 pounds per week, miaka 20 hiyo iliyopita. Unadhani ukiweka factor ya inflation, mishaharaa hiyo itakuwa ni kiasi gani kwa ligi ya sasa? Mpaka sasa kuna wachezaji wa timu kubwa tu wanalipwa 80000/week, yaani chini ya mishahara ya wachezaji fulani miaka 20 iliyopita. Ukiangalia suala la wachezaji kuwa masikini, badili na kusema wachezaji wa zamani wengi wamefilisika. Tambua pia hilo suala la kufilisika kwa wachezaji linatokea kwenye karibia kila mchezo wa kulipwa na sababu kuu ni ukosefu wa elimu ya matumizi ya pesa na uwekezaji ambayo inaathiri wachezaji wengi sana mpaka leo hii. Suala siyo hawalipwi vizuri. Ni wamefanya nini na pesa zao? Mtafute Mathieu Flamini. Amechezea Arsenal na kina Thierry Henry na kina Fabregas. Alikuwa mchezaji wa kawaida tu na hakuwahi kushika mishahara wala madili waliyopata kina Henry. Kina Henry wanafanya punditry saivi. Flamini ni bonge la bilionea. Je David Bekham unamfahamu?
Sema unachekesha mkuu unataja super stars ambao walikuwa top ,MTU kama Beckham saizi ni billionear ndio lakin walikuwa wanalipwa pesa nyingi ,Hao kina Henry ndio tuseme kina kdb WA sasa lazima wapate pesa nyingi ...saizi wachezaji wanakula pesa nzuri tu hata wakiwa bench .......

Henry asingejiongeza kutoka hapo Arsenal na kusepa zake Barcelona saizi angekuwa masikin WA kutupwa ,ndio club imempa mafanikio ..

Mbona hujamtaja Emmanuel eboue mchezaji wenu Tena muivery cost aliyecheza Arsenal saizi kafilisika vibaya ...

Wes Brown huyu Ni legend kabisa WA man utd ,kaomba kukaa kwenye nyumba ya dogo rashford ...maisha yamemchapa hatari ....

Jermaine pennant huyu mwingereza nimeona juzi anasema kafirisika na kacheza Arsenal ....

Hao wote Ni baadhi ya wachezaji walicheza mpira Kwa kufuata ujinga WA mashabiki et kupigania timu Bila kujua mpira Ni just 32 yrs timu na mashabiki wanakutema .....and you fight fou your life

Timu kujiendesha yenyewe sikatai ,ila kukaa chini na kuona man city ndio anatumia pesa pekee yake ,Tena et zinatoka mfukoni MWA Mansour sio club Ni maajabu 😂
 
Sema unachekesha mkuu unataja super stars ambao walikuwa top ,MTU kama Beckham saizi ni billionear ndio lakin walikuwa wanalipwa pesa nyingi ,Hao kina Henry ndio tuseme kina kdb WA sasa lazima wapate pesa nyingi ...saizi wachezaji wanakula pesa nzuri tu hata wakiwa bench .......

Henry asingejiongeza kutoka hapo Arsenal na kusepa zake Barcelona saizi angekuwa masikin WA kutupwa ,ndio club imempa mafanikio ..

Mbona hujamtaja Emmanuel eboue mchezaji wenu Tena muivery cost aliyecheza Arsenal saizi kafilisika vibaya ...

Wes Brown huyu Ni legend kabisa WA man utd ,kaomba kukaa kwenye nyumba ya dogo rashford ...maisha yamemchapa hatari ....

Jermaine pennant huyu mwingereza nimeona juzi anasema kafirisika na kacheza Arsenal ....

Hao wote Ni baadhi ya wachezaji walicheza mpira Kwa kufuata ujinga WA mashabiki et kupigania timu Bila kujua mpira Ni just 32 yrs timu na mashabiki wanakutema .....and you fight fou your life

Timu kujiendesha yenyewe sikatai ,ila kukaa chini na kuona man city ndio anatumia pesa pekee yake ,Tena et zinatoka mfukoni MWA Mansour sio club Ni maajabu ,

Unakuwa mgumu sana kuelewa vitu virahisi sana.

Hakuna aliyesema Man City anatumia pesa pekee yake au wengine hatutumi pesa. Tunachosema ni mmefanya financial doping kupitia mfuko wa Mansour na mmechakachua vitabu. Unachotetea ndicho tunachokushtaki. Tunasema kwamba nyie mmetumia uhuni wakati wenzenu tumefanya vitu kihalali. Na wote tunaelewa hichi ndicho unachopinga. Nimeona tu nikupe ki elimu kidogo ili ujue mambo yako zaidi ya unavyofikiri.

Sijawataja akina Eboue kwa sababu nimekuambia kuwa wanamichezo wengi wanafilisika kwa kukosa maarifa, siyo kwa kukosa mishahara mizuri. Tena kina Eboue na Penant unakuta wamefilisika kwa sababu zao za kibinadamu zinazoeleweka kabisa. Wewe unaileta kama kucheza kwao Arsenal ni ishu hapa. Jiulize, je, Eboue na Flamini wameshawahi kucheza pamoja? Ukipata jibu, jiulize mbona mmoja ni tajiri sasa na mwingine siyo? Ndiyo maana nikakupa mfano wa mchezaji aliyekuwa anapokea kidogo kuliko kina Henry ila angalia yeye amefanya nini na chake na angalia wenzake wamefanya nini na vyao. Mbona ni simple tu? Hata kwenye maisha ya kawaida hii ipo sana.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nilikwambia mimi

😄😄😄 ni shida bro 😄😄😄

Tumejaribu kumsaidia japo kidogo maana yeye kasema ni wa kizazi cha mbele yetu na bado ana attitude ile ya mtu akiambiwa kitu asichokipenda, hukimbilia kusema tunamwonea wivu kwa kuwa ametuzidi mahala fulani. Tuache aamue mwenyewe kupokea au kutupa kile tulichompa. 😄😄😄
 
Unakuwa mgumu sana kuelewa vitu virahisi sana.

Hakuna aliyesema Man City anatumia pesa pekee yake au wengine hatutumi pesa. Tunachosema ni mmefanya financial doping kupitia mfuko wa Mansour na mmechakachua vitabu. Unachotetea ndicho tunachokushtaki. Tunasema kwamba nyie mmetumia uhuni wakati wenzenu tumefanya vitu kihalali. Na wote tunaelewa hichi ndicho unachopinga. Nimeona tu nikupe ki elimu kidogo ili ujue mambo yako zaidi ya unavyofikiri.

Sijawataja akina Eboue kwa sababu nimekuambia kuwa wanamichezo wengi wanafilisika kwa kukosa maarifa, siyo kwa kukosa mishahara mizuri. Tena kina Eboue na Penant unakuta wamefilisika kwa sababu zao za kibinadamu zinazoeleweka kabisa. Wewe unaileta kama kucheza kwao Arsenal ni ishu hapa. Jiulize, je, Eboue na Flamini wameshawahi kucheza pamoja? Ukipata jibu, jiulize mbona mmoja ni tajiri sasa na mwingine siyo? Ndiyo maana nikakupa mfano wa mchezaji aliyekuwa anapokea kidogo kuliko kina Henry ila angalia yeye amefanya nini na chake na angalia wenzake wamefanya nini na vyao. Mbona ni simple tu? Hata kwenye maisha ya kawaida hii ipo sana.
Ni kwanin nyie mfanye uhuni Enzi zenu harafu watoto WA sasa wakifanya uhuni ionekana kosa kubwa ?

Kwanin nyie mshinde makombe yenu yote Bila FFP ,na mlikuwa mnatumia pesa Bila kupigwa ...

Wivu ,wivu ,wivu .....Hakuna kingine mkuu huo ndio ukweli .......

Uhuni mliokuwa mnatumia zamani city kawazidi saizi mnaanza kutoa mayowe....
 
Screenshot_20240524-100411_1.jpg
 
Weewe ndiye una wivu kuwa sisi tuliweza kujiendesha kwa pesa za ndani huku nyie mlishindwa kujiendesha kwa pesa za ndani mpaka mbebwe na sugar daddy mwenye pesa zake. Sisi tulifanya kihalali. Nyie mmefanya kihuni. Unatulazimishia uhuni ambao sisi hatukufanya kisa nyie mlishindwa kufanya kihalali.

Hata hivyo, isiwe taabu. Kwa sasa umeona akina Livakuku na sisi tumeamka na tumeanza kuwapelekea moto kwenye hizi mbio. Muda si mrefu tutawapita na kuwarudisha matopeni mlikokota pamoja na uhuni wenu. Hatutakuwa na haja ya kugombana mambo ya nje ya uwanjani maana huko huko uwanjani mtakuwa mnaona moto wetu.
 
Umeshinda makombe yote Bila FFP ,var ,goal line technology,Hakuna hata social media ....kiufupi makombe yenu mmeyanyanyua gizani ......

Harafu unasema Ni Halali ....Ni board gani inawezadhibitisha uhalali wenu kuwa mlikuwa mnatumia pesa kihalali ....

Ndio maana mpira WA sasa unawashinda ,Kwa sababu mlikiwa mshazoea kuwin game pekee yenu sababu mnapesa Enzi hizoo ,saizi timu kibao Duniani zina pesa ......leta timu uwanjani tupishane na kuoneshana ubabe tu ...
 
sawa sawa, tukutane uwanjani tuonyeshane ubabe
😀 😀
 
Back
Top Bottom