Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,233
- 76,754
2011 upo form one halafu unaandika matusi kila siku humu.Mim nafuata kile kitu moyo unapenda mkuu ,sishabikii timu Kwa kuangalia wingi WA mashabiki ,mim ndio natazama mpira kwenye tv kwanin nianze kupoteza muda kuanza kuangalia watu wanasema nin ,wakati macho yangu yanaona,,,
Tofuati ya mim na wewe Ni kuwa wewe unashabikia timu kwa kufuata upepo WA watu ,.....am sure wewe unashabikia timu kwa kufuata either brother zako ,mtaani au kundi gani kubwa la watu linashabikia ...tofauti na hapo uwe 46+yrs means uliona Arsenal ya Wenger tofauti na hapo itabidi usema umeanza shabikia Arsenal Kwa sababu gani ...
Mim nimeanza kuangalia mpira naanza form one 2011 ,maana ndio nilikuwa na access ya Kurudi hata nyumbani usiku Kwa kuangalia mpira ,means hapa utoto WA kuchungwa nyumbani ulikuwa umeisha ...
Timu iliyokuwa top Ni man city ,ndio ilikuwa inashinda almost weekend zote ,....Hiyo Arsenal ya Wenger sijawahi iona maisha yangu ...wala sijui man U ya furgson sikuwahi iona .......nazisikia tu zilikuwa hivi ........siwezi shabikia timu Kwa kusikiliza sijui Zaman ilikuwa hivi wakati nayoiona in real life Ni man city ..walioziona hizo timu wanafaaa kuwa mashabiki WA hizo timu na wako sahihi ...
Anyway, kama tukifuata mfumo wa la kwanza mtu anaanza na miaka 7 mimi ni mkubwa kwako. Arsenal ya Wenger nimeiona.
Kaka yangu ni nyumbu, baba yangu ni Liva. Baba yangu ni Simba kaka yangu ni Yanga. Mimi bongo sina timu.
Mimi naanza kushabikia mpira mechi moja moja inaonyeshwa DTV. Matokeo mengine tunafuatilia magazeti kulikua na gazeti linaitwa Spoti Starehe na jingine Alasiri.