lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,667
- 25,857
Hiyo mentality ndio iliyowafanya mkose kombe, kwa maoni ya rodri, mentality ya kushinda kila mechi ndio inayoifanya timu kuwa bingwaHujamuelewa. Sisi hatukutaka kushinda dhidi yake kwake. Tuliona hiyo nguvu bado hatuna na tutajichosha sana. Sisi tulitaka kushinda ligi na mbinu ya kushinda ligi ilihusisha kuamua kutojichosha na City. Acha tutoe nae sare huku tukiwapiga wengine. Akijitokeza wa kumpiga City, yote kheri.
Hii mbinu aliitumia Mourinho na Madrid dhidi ya Barcelona na alifanikiwa. Sisi pia kidogo tu, hii mbinu ingezaa matunda.