Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lengo sio kutishana wala kukatishana tamaa hapana, ila hizi ni 5 last results za timu zote mbili Arsenyo na Everton
1716015003952.jpg
 
Kesho kombe litakuwepo uwanjani after 20 years.

Tunapaswa kujipongeza hata kama halotobaki hapo. Naamini itakuwa chachu ya msimu unaokuja kulibakisha kabisa.

COYG
 
"Kutoka kushika nafasi ya 8 mara mbili mfululizo hadi kuingia kugombea Ubingwa, that's big achievement"

Hizi mentality za mashabiki na wachezaji wa Arsenal ndio zinaifanya Arsenal miaka yote ionekane ni mid table team.
Hio kushika nafasi 8 mnatakiwa muichukulie kama accidentally maana mna zaidi ya nusu misimu tokea kuanzishwa kwa Epl mnaingia top4, ila nyinyi msimu wa pili huu mfululizo mnakosa ubingwa kwa uzembe halafu mnaichukulia nafasi ya 8 kama excuse ya kukosa ubingwa.
Mentality hizo angekua nazo Alonso na Bayer Leverkusen asingechukua ubingwa msimu huu tena akiwa Unbiten.
Kwanza tambua hazishindani timu mbili,

Pili, achievement ni a thing done successfully with effort, skill, or courage. (Kwa msaada wa google).
Kwa Arsenal ni ACHIEVEMENT kuwa nafasi ya pili na kutokushuka daraja kama N.Forest. Na ndio maana kuna jedwali la point. Na kila mtu atazawadiwa kulingana na juhudi zake.

Tuje kwa bayern Leverkusen, hiyo ni probability katika kila ligi ambayo kuna timu ni dominant, kuna uwezekano kila baada ya miaka flani apatikane dark horse apindue meza. Question is kwanini hawarudii tena. Jibu ni rahisi hawana sustainable plan mara nyingi ( pesa kumaintain kikosi cha ushindani, staff wenye uwezo n.k).
Sasa Arsenal inajitahidi kuijenga timu endelevu kwa miaka 5 sasa. From 8th to 2nd that's not underperforming bali ki mpira ni ACHIEVEMENT tosha.

Ukitaka kuamini jiulize mbona Leicester haijarudia tena kuubeba, bila kusahau Atletico Madrid, BVB. Hata Alonso nae apewe season ya pili tumjudge.
 
Achievements kwa misimu miwili mfululizo kuingia top4 na kutoshuka daraja sio?
Ndio maana nikasema hizi ni mentality za mid table teams, Arsenyo kwa ubora mliokua nao kwa hii misimu miwili mfululizo hamkupaswa misimu yote kumaliza mikono mitupu bila ya kombe lolote.
Yaani misimu yote miwili ya kujisifu kwa ubora wa timu halafu mnamaliza msimu mikono mitupu bila ya Uefa, Epl, FA, Carabao halafu mnajisifia achievment?
Kuingia top4 ni achievment kwa mid table teams, Aston Villa akisema ameachieve kwa kuingia top4 wala hatuwezi kushangaa, ila Arsenal kwa level yenu sasa hivi sio kujisifu na kufurahia top 4, nyinyi kwa hii misimu miwili mlistahili zaidi ya top4.
Hizo mentality za top4 waachieni kina Spurs, Brighton, Villa etc.
Kwa kipindi hiki ambacho Nyumbu, Chelkenge na Livapunda wanajikongoja nyinyi kwa ubora mlionao mlitakiwa kipindi hiki kukitumia vizuri kwa kujaza makombe kwenye kabati lenu kabla hizi timu nyingine hazijaanza kujipata, matokeo yake Man Utd na ubovu wake msimu ulioisha kabeba Carabao na msimu huu yupo fainali ya FA, Liverpool msimu huu pamoja na kusuasua tayari ameshabeba Carabao, halafu nyinyi mnaondoka mikono mitupu na kuanza kusifiana ujinga humu kua kutokushuka daraja na kubaki top4 kwenu ni achievment kubwa
 
Kwa kipindi hiki ambacho Nyumbu, Chelkenge na Livapunda wanajikongoja nyinyi kwa ubora mlionao kwa sasa mlitakiwa kipindi hiki kukitumia vizuri kwa kujaza makombe kwenye kabati lenu.

Usikaze fuvu.
Tumepambania ubingwa, na makombe, ila tumekosa. Hatujakataa hilo. Ila usijidanganye kwamba hatujafanya vizuri zaidi ya hapo awali. Tunatambua kuwa club iliporomoka na sasa tunatambua kuwa imeanza kusimama tena.

Mentality yetu ni ya kupambania makombe. Haimaniishi kwamba tukiyakosa na tukaangalia mema tuliyofanya basi tumekuwa na mid-table team mentality. Tunabaki na mentality yetu ile ile ila hatuwezi kulia lia. Tutayachukua yale mazuri na kuyafurahia huku tukitaka kuimarika pale tulipokosea na kusonga mbele, ambacho matokeo yetu msimu hadi msimu, yameonesha tunafanya.

Nyie mnazidi kuporomoka. Msimu jana mlifika nafasi ya 3 ila Hamisi na kila shabiki aliona nyie bado hamna lolote. Kwa sasa mmebaki kutumaini msimalize wa 8 au mshinde FA cup ndiyo muingie michuano ya Ulaya, huku mkishukuru majeruhi yamewasaidia kuwapa nafasi madogo, akina Amad na Mainoo.

Sisi na nyie hatufanani hivi karibuni. Si kimafankio uwanjani, si kimentality, si kiclub culture, si kiclub management, si kimvuto, si kwa lolote lile. Tuko juu sana kwenu, na kukosa ubingwa au kombe halibadili hilo kisa tu wewe unataka kuamini hivyo.
 
Bado kuna wananzi wa asenal wanaamini kesho asenal itakuwa bingwa 😂😂😂😂😂 enewei n matumizi sahihi ya uhuru pia.....

Katika kauhalisia Kesho matokeo rahisi ni manisiti kushinda na asenali kushinda😂😂😂au manisiti asare na aseno asare/afungwe😂😂😂
Uwezekano mdogo wa wote kufungwa😂😂😂😂....ili mradi tu asenal wateseke😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Kesho kama nawaona wagonga nyundo wakibondwa na nyundo zao kesho hamna hamna kuna kono la nyani pale etihadiiii😂😂😂😂
 
Kule kwenye uzi wao kumejaa articles ndefu ndefuuuuu za kizungu za copy-paste za kina Manyanza na Grau, kuhusu Klopp kuondoka na Slot kuja. Hata hakuna anayezielewa. Wanaona bora waje huku watukere tu.
Wewe unaongea nini ??? Acha maneno tuonyeshe MAJOR TROPHY mliochukua msimu huu ???

Mmeambulia COMMUNITY SHIELD ambayo ni CHARITY MATCH TROPHY mnanini kingine cha maana mlichopata nyie TV SERIES CLUB.
 
Usikaze fuvu.
Tumepambania ubingwa, na makombe, ila tumekosa. Hatujakataa hilo. Ila usijidanganye kwamba hatujafanya vizuri zaidi ya hapo awali. Tunatambua kuwa club iliporomoka na sasa tunatambua kuwa imeanza kusimama tena.

Mentality yetu ni ya kupambania makombe. Haimaniishi kwamba tukiyakosa na tukaangalia mema tuliyofanya basi tumekuwa na mid-table team mentality. Tunabaki na mentality yetu ile ile ila hatuwezi kulia lia. Tutayachukua yale mazuri na kuyafurahia huku tukitaka kuimarika pale tulipokosea na kusonga mbele, ambacho matokeo yetu msimu hadi msimu, yameonesha tunafanya.

Nyie mnazidi kuporomoka. Msimu jana mlifika nafasi ya 3 ila Hamisi na kila shabiki aliona nyie bado hamna lolote. Kwa sasa mmebaki kutumaini msimalize wa 8 au mshinde FA cup ndiyo muingie michuano ya Ulaya, huku mkishukuru majeruhi yamewasaidia kuwapa nafasi madogo, akina Amad na Mainoo.

Sisi na nyie hatufanani hivi karibuni. Si kimafankio uwanjani, si kimentality, si kiclub culture, si kiclub management, si kimvuto, si kwa lolote lile. Tuko juu sana kwenu, na kukosa ubingwa au kombe halibadili hilo kisa tu wewe unataka kuamini hivyo.
Pamoja na ubovu wa timu yetu na uimara wa timu yenu ila linapokuja suala la mafanikio hamuwezi kujilinganisha na sisi.
Tunachofanya sisi ni kuwasanua ndugu zetu kua kwa ubora mlionao hivi sasa mnastahili zaidi ya top4.

Mfano mdogo wa mafanikio ni wafanyakazi wawili wa kampuni moja, mfanyakazi mmoja mshahara wake ni mkubwa mara 5 ya mwenzie lakini pesa yake yote anaitumia kwenye anasa hata akiba haweki, halafu yule mwenye mshahara mdogo amedunduliza na kujibanabana akajenga nyumba, akanunua usafiri na pia akafanya investments za kumuingizia shilingi mbili tatu.

Yule mwenye mshahara mkubwa akianza kujisifu kua yeye ana mafanikio makubwa kwa kua kazini analipwa mshahara mkubwa kuliko mwenzake watu wote lazima watamuona ni mwehu.

Sisi tunacho washauri nyie ndugu zetu Arsenyo ni kweli mishahara yenu ni mikubwa maradufu kwa sasa, hivyo jitahidini basi kuitumia kwenye mambo ya maendeleo, sio kila mkipokea mshahara mnaishia kuitapanya hovyo kwa kulewa na kuhonga mademu mpaka msimu unaisha hamna chochote mlichowekeza, halafu mlivyo mazwazwa mnajisifu kua kazini kwenu nyinyi ndio mnaolipwa mshahara mkubwa kuliko wote, hivyo nyinyi ndio mna maendeleo zaidi kuliko wafanyakazi wengine wote.
Kama na mfano huu hamjaelewa sidhani kama mtakuja kuelewa kitu hapa duniani
 
Usikaze fuvu.
Tumepambania ubingwa, na makombe, ila tumekosa. Hatujakataa hilo. Ila usijidanganye kwamba hatujafanya vizuri zaidi ya hapo awali. Tunatambua kuwa club iliporomoka na sasa tunatambua kuwa imeanza kusimama tena.

Mentality yetu ni ya kupambania makombe. Haimaniishi kwamba tukiyakosa na tukaangalia mema tuliyofanya basi tumekuwa na mid-table team mentality. Tunabaki na mentality yetu ile ile ila hatuwezi kulia lia. Tutayachukua yale mazuri na kuyafurahia huku tukitaka kuimarika pale tulipokosea na kusonga mbele, ambacho matokeo yetu msimu hadi msimu, yameonesha tunafanya.

Nyie mnazidi kuporomoka. Msimu jana mlifika nafasi ya 3 ila Hamisi na kila shabiki aliona nyie bado hamna lolote. Kwa sasa mmebaki kutumaini msimalize wa 8 au mshinde FA cup ndiyo muingie michuano ya Ulaya, huku mkishukuru majeruhi yamewasaidia kuwapa nafasi madogo, akina Amad na Mainoo.

Sisi na nyie hatufanani hivi karibuni. Si kimafankio uwanjani, si kimentality, si kiclub culture, si kiclub management, si kimvuto, si kwa lolote lile. Tuko juu sana kwenu, na kukosa ubingwa au kombe halibadili hilo kisa tu wewe unataka kuamini hivyo.
Kijana tulia, Una mwaka wa 4 sasa huna MAJOR TROPHY yoyote ile .
 
Achievements kwa misimu miwili mfululizo kuingia top4 na kutoshuka daraja sio?
Ndio maana nikasema hizi ni mentality za mid table teams, Arsenyo kwa ubora mliokua nao kwa hii misimu miwili mfululizo hamkupaswa misimu yote kumaliza mikono mitupu bila ya kombe lolote.
Yaani misimu yote miwili ya kujisifu kwa ubora wa timu halafu mnamaliza msimu mikono mitupu bila ya Uefa, Epl, FA, Carabao halafu mnajisifia achievment?
Kuingia top4 ni achievment kwa mid table teams, Aston Villa akisema ameachieve kwa kuingia top4 wala hatuwezi kushangaa, ila Arsenal kwa level yenu sasa hivi sio kujisifu na kufurahia top 4, nyinyi kwa hii misimu miwili mlistahili zaidi ya top4.
Hizo mentality za top4 waachieni kina Spurs, Brighton, Villa etc.
Kwa kipindi hiki ambacho Nyumbu, Chelkenge na Livapunda wanajikongoja nyinyi kwa ubora mlionao mlitakiwa kipindi hiki kukitumia vizuri kwa kujaza makombe kwenye kabati lenu kabla hizi timu nyingine hazijaanza kujipata, matokeo yake Man Utd na ubovu wake msimu ulioisha kabeba Carabao na msimu huu yupo fainali ya FA, Liverpool msimu huu pamoja na kusuasua tayari ameshabeba Carabao, halafu nyinyi mnaondoka mikono mitupu na kuanza kusifiana ujinga humu kua kutokushuka daraja na kubaki top4 kwenu ni achievment kubwa
Too bad kaka sielewi unachomaanisha nadhani kama tungekuwa na mentality ya mid table hata hiyo ya pili tusingeshika. Mara mbili mfululizo.

You know kuna improvements unless unataka banter brother.

From a gap ya 5+ points to 2 points difference.
Nashukuru unaona kitu mpaka unaamini tuko katika form ya kushinda chochote, ila mpira hauko kama utakavyo.
 
Achievements kwa misimu miwili mfululizo kuingia top4 na kutoshuka daraja sio?
Ndio maana nikasema hizi ni mentality za mid table teams, Arsenyo kwa ubora mliokua nao kwa hii misimu miwili mfululizo hamkupaswa misimu yote kumaliza mikono mitupu bila ya kombe lolote.
Yaani misimu yote miwili ya kujisifu kwa ubora wa timu halafu mnamaliza msimu mikono mitupu bila ya Uefa, Epl, FA, Carabao halafu mnajisifia achievment?
Kuingia top4 ni achievment kwa mid table teams, Aston Villa akisema ameachieve kwa kuingia top4 wala hatuwezi kushangaa, ila Arsenal kwa level yenu sasa hivi sio kujisifu na kufurahia top 4, nyinyi kwa hii misimu miwili mlistahili zaidi ya top4.
Hizo mentality za top4 waachieni kina Spurs, Brighton, Villa etc.
Kwa kipindi hiki ambacho Nyumbu, Chelkenge na Livapunda wanajikongoja nyinyi kwa ubora mlionao mlitakiwa kipindi hiki kukitumia vizuri kwa kujaza makombe kwenye kabati lenu kabla hizi timu nyingine hazijaanza kujipata, matokeo yake Man Utd na ubovu wake msimu ulioisha kabeba Carabao na msimu huu yupo fainali ya FA, Liverpool msimu huu pamoja na kusuasua tayari ameshabeba Carabao, halafu nyinyi mnaondoka mikono mitupu na kuanza kusifiana ujinga humu kua kutokushuka daraja na kubaki top4 kwenu ni achievment kubwa
Na kuongezea sometimes sio mentality bali ni mipango kama nilivoweka pale juu.
Kumbuka 2010's mashabiki wa man u walikuwa hawatambui kombe Major lolote zaidi ya UEFA na EPL. Walitucheka sana tumekaa miaka mingi bila EPL.
Angalia sasa hata Carabao ni kubwa kwao.
Walishindwa kujipanga na inaweza wachukua milele kurudi walipotoka football .
Je utasema na wao wana mentality ya Mid table.?
 
Achievements kwa misimu miwili mfululizo kuingia top4 na kutoshuka daraja sio?
Ndio maana nikasema hizi ni mentality za mid table teams, Arsenyo kwa ubora mliokua nao kwa hii misimu miwili mfululizo hamkupaswa misimu yote kumaliza mikono mitupu bila ya kombe lolote.
Yaani misimu yote miwili ya kujisifu kwa ubora wa timu halafu mnamaliza msimu mikono mitupu bila ya Uefa, Epl, FA, Carabao halafu mnajisifia achievment?
Kuingia top4 ni achievment kwa mid table teams, Aston Villa akisema ameachieve kwa kuingia top4 wala hatuwezi kushangaa, ila Arsenal kwa level yenu sasa hivi sio kujisifu na kufurahia top 4, nyinyi kwa hii misimu miwili mlistahili zaidi ya top4.
Hizo mentality za top4 waachieni kina Spurs, Brighton, Villa etc.
Kwa kipindi hiki ambacho Nyumbu, Chelkenge na Livapunda wanajikongoja nyinyi kwa ubora mlionao mlitakiwa kipindi hiki kukitumia vizuri kwa kujaza makombe kwenye kabati lenu kabla hizi timu nyingine hazijaanza kujipata, matokeo yake Man Utd na ubovu wake msimu ulioisha kabeba Carabao na msimu huu yupo fainali ya FA, Liverpool msimu huu pamoja na kusuasua tayari ameshabeba Carabao, halafu nyinyi mnaondoka mikono mitupu na kuanza kusifiana ujinga humu kua kutokushuka daraja na kubaki top4 kwenu ni achievment kubwa
Hivi unaujua ubingwa wa uingereza ulivyo tafu? Unadhani kushinda na klop na pep ambao hata ulaya watu wanakalishwa? Kufikisha pointi 80 ligi kuu sio poa
 
Kaka mimi sizungumzii ubingwa wa Epl wala Uefa pekee, ni kweli sio kazi rahisi kupata ubingwa wa hayo makombe mawili, ila kwa ubora wa Arsenal hii mmeshindwa Epl na Uefa basi mngebeba hata hivyo vikombe vidogo vya FA na Carabao.
Hata wajukuu zenu siku mkija kuwahadithia kua Arsenal ya 2022/2023 na 2023/2024 ilikua ni ya moto kwelikweli, wakiwauliza ilishinda kombe gani? halafu mkawaambia haikushinda kombe lolote misimu yote miwili walimaliza mikono mitupu sidhani kama watawaelewa.
 
Kaka mimi sizungumzii ubingwa wa Epl wala Uefa pekee, ni kweli sio kazi rahisi kupata ubingwa wa hayo makombe mawili, ila kwa ubora wa Arsenal hii mmeshindwa Epl na Uefa basi mngebeba hata hivyo vikombe vidogo vya FA na Carabao.
Hata wajukuu zenu siku mkija kuwahadithia kua Arsenal ya msimu wa 2022/2023 na 2023/2024 ilikua ni ya moto kwelikweli, wakiwauliza ilishinda kombe gani? halafu mkawaambia haikushinda kombe lolote sidhani kama watawaelewa.
Unabwabwaja nn ww Lofa Mlinda mageti🤠🤠....akichukua kipara kastahili..tutajifunza kwa mistakes tulizofanya na mwakani kwny fezi foo tunabeba hii ndoo....msitufananishe sisi na nyny...tupo mbali sana kwa sasa
 
Unabwabwaja nn ww Lofa Mlinda mageti....akichukua kipara kastahili..tutajifunza kwa mistakes tulizofanya na mwakani kwny fezi foo tunabeba hii ndoo....msitufananishe sisi na nyny...tupo mbali sana kwa sasa
kila wisho wa msimu maneno yenu ni hayohayo tu mtajifunza kwa mistakes mlizofanya na mwakani kwenye fezi foo mtabeba ndoo, cha ajabu hizo fezi foo hua haziishi, kila msimu kwenu ni fezi foo na mbaya zaidi hua hata hamjifunzi kabisa kwa hizo mistakes mlizofanya msimu ulioisha
Mlinda geti kazi yangu humu ni kutembeza spana tu mpaka mjirekebishe na kuacha uzwazwa na false hopes za kijinga, tena umenikumbusha ngoja nianze kufukua makaburi maana ninazo quotes zako za kutosha humu ukiwadanganya misukule wenzako kua msimu huu lazima mtabeba Epl na Uefa
 
kila wisho wa msimu maneno yenu ni hayohayo tu mtajifunza kwa mistakes mlizofanya na mwakani kwenye fezi foo mtabeba ndoo, cha ajabu hizo fezi foo hua haziishi kila msimu kwenu ni fezi foo na mbaya zaidi hua hata hamjifunzi kabisa kwa hizo mistakes mlizofanya msimu ulioisha

Back
Top Bottom