Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ile tabia ya kushinda goli tano mechi ya mwisho ya msimu leo ndiyo leo
 
man city vs westhamm 3-1 FT
arsenal vs Everto 4-0 FT 🎰🤩
 
Kama kuna shabiki wa Arsenal leo abet kwamba City anashinda.

Kisha separate bet abet kwamba Everton anashinda au anasuluhu.

Hii ni njia mojawapo ya kujinx games
Mimi nataka kuwa kinyume kidogo na wewe leo.
Yani inatakiwa iwe hivi shabiki wa Wenger orphans unatakiwa umbetie man city ashinde hafu uweke dau la maana kweli.
Ili ikitokea man city akashinda unaondoka na kibunda cha kwenda kupozq machungu ikitokea kapoteza unaondoka na furaha ya kombe😁😁

Kwaiyo leo Wenger orphans machaguo ni hayo tu weka million mpe city au usubirie maumivu ya bure bure
 
Kama kuna shabiki wa Arsenal leo abet kwamba City anashinda.

Kisha separate bet abet kwamba Everton anashinda au anasuluhu.

Hii ni njia mojawapo ya kujinx games
[emoji23][emoji23] aisee we mzee unamajaribu
 
Wanangu wa Arsenal leo tunabeba Ndoo na Kenge zote za Chelsea, Manure, Man City na Liverpool zitatoweka hapa.
[emoji471][emoji471][emoji471][emoji471]
IMG-20230521-WA0024.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom