Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

We need to win this game against Everton, and wait for other final results. Narudia haijaisha hadi iishe.
 
Hivi kuna mijitu hapa kumbe furaha yao katika mpira ni kuona Arsenal inakosa vikombe eti ehee??

Yaani kuteleza kwa arsenal kwao wanaona ndio mafaniko na jambo la kuwapa furaha kuliko hata mafanikio ya timu yao?

Maaana kuna maposts marefu marefu hapa yamejaa ushuzi mtupu pamoja na chuki, mpaka najiuliza hivi huyu mtu yuko sawa kweli kichwani?

Kweli gunners tumeimprove pakubwa sana, hizi chuki nilikuwa sizione kabisa miaka ya nyuma wakati tunashika za 8,6 na 5 huko.

Watu mnaichukia Arsenal kuliko hata mnavyozipenda timu zenu, dalili za ukichaa hizo

Nature hakuna anayeiombea Timu ya mwenzake ishinde chochote.

Hivyo kama unawalaumu washabiki wanaoiombea Arsenal isishinde Chochote basi hapa umekosea njia kashabikie Rede.
 
msimu wote mnasumbua eti mnataka epl
 

Attachments

  • IMG_20240517_194240.jpg
    IMG_20240517_194240.jpg
    34.5 KB · Views: 19
Back
Top Bottom