[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kila wisho wa msimu maneno yenu ni hayohayo tu mtajifunza kwa mistakes mlizofanya na mwakani kwenye fezi foo mtabeba ndoo, cha ajabu hizo fezi foo hua haziishi, kila msimu kwenu ni fezi foo na mbaya zaidi hua hata hamjifunzi kabisa kwa hizo mistakes mlizofanya msimu ulioisha[emoji16][emoji16][emoji16]
Mlinda geti kazi yangu humu ni kutembeza spana tu mpaka mjirekebishe na kuacha uzwazwa na false hopes za kijinga, tena umenikumbusha ngoja nianze kufukua makaburi maana ninazo quotes zako za kutosha humu ukiwadanganya misukule wenzako kua msimu huu lazima mtabeba Epl na Uefa[emoji23][emoji23][emoji23]