Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Upo sawa Klopp ana EPL moja tu lakini ukija mafanikio kiujumla Makombe yote kabeba 😭😭
Hivyo Klopp sio failure wa mafanikio kwa sababu tu ana EPL 1 😭😭
 
Arsenal FC

20 years without a title (21 πŸ”œ)
32 years without Carabao Cup
0 UCLs
0 Europas
0 Super cups
0 Club World Cup
In 138 years
Never defended a prem title

The fanbase has the audacity of Real Madrid but in reality they’re closer to Blackburn.
 
Leo tuko pale kwenye matofali dhidi ya mijusi milia wa Newcastle
 
Unadhani kila msimu utachallenge hivi hivi enh? Ngoja uone.
Ni ngumu ila tunatakiwa kujitahidi.
Pep ni mtu mwingine kabisa na Man City yake. Wao kila mwaka wapo pale juu, huku sisi wengine tunasindikaza kwa kupokezana. Ona sasa Villa kaingia top 4. Last season, Man United na Newcastle walikuwepo ila sasa hawana uhakika hata wa Europa. Ligi tamu sana hii.
 
Ana medal ya Uefa yule Kama Club yako mafanikio yake makubwa kubeba medal ya mshindi wa pili Uefa
 
Ujinga wenu wa kupoteza gemu na villa

Makosa yale yale mliyoludia msimu uliopita mmeludia msimu huu na mtaludia msimu ujao...

Mtashangaa Man u kajikongoja kachukua tena Epl kabla yenu mkizubaaπŸ˜€
 
Ferguson pia kuna kipindi alikua ni hatari kuliko Pep mwisho wa siku wakaja wengine.kikubwa Arsenal tuendelee na mikakati. We are almost there.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…