Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Manchester City!They asked for a penalty, and they get it. Mmoja wa watangazaji Supersport anasema ukiangalia ni kama Gravidol ndo kamvaa Nouri, lakini ni penalty. He is not sure, lakini ni penalty. Corruption
 
Wameshakula chuma mbili, namtizama huyu traore wao namba 6 mgongoni, mguuni ana mali, anainesha kuwa na kitu apambane tu.
 
USHAURI WA BURE KWA SHABIKI WA ARSENAL KUHUSU MECHI ZILIZOBAKI.

1. Kusitisha kuangalia mechi zilizobaki za CITY

2. Kukusanya dawa zote ndani ya nyumba na kwenda kuzitupa mbali au kuzichoma.

3. Kukusanya kamba zote, mtandio, kanga na mkanda ndani ya nyumba na kwenda kuvichoma moto.

4. Ondoa vitu venye ncha kali kama kisu na bisisi nyumbani kwako na kwenda kuvitupa mbali.

5. Mwisho usipite kwenye madaraja marefu au karibu na visima virefu.

MWISHO WA MSIMU UTANISHUKURU
we mzee huwapendi kabisa wenzio

kwahio wasiwe na hopea kuwa city ata drop point huko mbeleni

kumbuka city ana spurs hio ndio gateway ya arsenal pekee iliyo baki hapo draw tu inahitajika
 
Screenshot_20240504-204325.png
 
Nimetizama game kwa utulivu mpaka dk ya 80 hivi.
Mengi nimeyaona si mapya ni yale yale... Ubora wa partey hili jamaa, nasikitika tumechelewa kulipata na injuries zake.
ubora wa declan rice akiwa LCM
Shida za kai(nishazizoea na kukubaliana n uhalisia, ndio chaguo la mwalim)

Lakini kubwa kabisa ni huyu saka, ajiangalie saana, saka namuona ni mchezaji wa mfumo huyu, je akienda everton ataweza kushine hivi, je akienda pale man u atakuwa na nusu ya ubora wake hapa arsenal?

Kichekesho kuna muda mtaalam kai alikuja chini kuchukua mpira kwa tomiyasu akamfukuza na kumpasia mwingine.
Kai atakuwa ana undugu na Arteta... Game ya Villa zile dakika 15 za mwisho Partey alikuwa anahitajika ujeuri wa Arteta utatukosesha kombe hivi hivi
 
Manchester City!They asked for a penalty, and they get it. Mmoja wa watangazaji Supersport anasema ukiangalia ni kama Gravidol ndo kamvaa Nouri, lakini ni penalty. He is not sure, lakini ni penalty. Corruption
Sisi washabiki wa jiji la manchester tuliumia mlipopewa magoli mawili ya bure mechi ya spurs ,hivyo basi msilie kwa kuona city anapata kama nyinyi
 
Back
Top Bottom