whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,190
- 2,541
hadi sasa jukwaa limepumzika. hayawani karibu wote( kenge,nyumbu,kuku kishingo) walijikusanya kutuchawia
Nimetizama game kwa utulivu mpaka dk ya 80 hivi.
Mengi nimeyaona si mapya ni yale yale... Ubora wa partey hili jamaa, nasikitika tumechelewa kulipata na injuries zake.
ubora wa declan rice akiwa LCM
Shida za kai(nishazizoea na kukubaliana n uhalisia, ndio chaguo la mwalim)
Lakini kubwa kabisa ni huyu saka, ajiangalie saana, saka namuona ni mchezaji wa mfumo huyu, je akienda everton ataweza kushine hivi, je akienda pale man u atakuwa na nusu ya ubora wake hapa arsenal?
Kichekesho kuna muda mtaalam kai alikuja chini kuchukua mpira kwa tomiyasu akamfukuza na kumpasia mwingine.
jiandaeni tunakuja.tuwakate ngebe mbele ya mademu zenu🤣 oya tukutane trh 12
Unakatwa na Laccazete😂😂😂😂Ollashoga mama la mama
Ollashoga mama la mamaUnakatwa na Laccazete😂😂😂😂
Unakatwa na Laccazete 😂😂😂Ollashoga mama la mama
Ollashoga mama la mamaSema nini nyie matakataka, mukishinda mechi zilizobaki na city akashinda mutakuwa hamuna maana Tena. Koz city atabeba ubingwa Tena halafu nyie mbuzi tumewapa dhamana ya kupambana nao munashindwa tu kama livakuku alivyoshindwa. Hivyo sisi Chelsea tutarudi musimu ujao kukamata usukani maana ninyi na matakataka livakuku mutakuwa mumefeli.
Unakatwa na Laccazete 😂😂😂😂Ollashoga mama la mama
Zile goli itakuwa wachezaji walikuwa na mgomo, intelijensia yangu ndo inanambia ivyo😀😀Uligongwa 5G mbuzimawe wewe
Kama uliwahi kusoma coments za nyuma utanielewa, nishawahi kusema, kai ataonekana atleast na kina luton, hizi ni game zake kwangu mimi, nadhani hii niliandika siku ya game vs bayern.Una ajenda ya Siri na Kai...leo amecheza a complete game....sijaona ufala mkubwa... fighting spirit yake ni kubwa sana...Havertz hawezi kuwa Jesus hata siku moja na Jesus hawezi kuwa Kai...hili mnabidi mlizoee tu ndugu zetu🤠🤠
😂😂 nimzoee mara ngapi, ukisoma coment yangu nimeandika, nishamzoea 😂Una ajenda ya Siri na Kai...leo amecheza a complete game....sijaona ufala mkubwa... fighting spirit yake ni kubwa sana...Havertz hawezi kuwa Jesus hata siku moja na Jesus hawezi kuwa Kai...hili mnabidi mlizoee tu ndugu zetu🤠🤠
Hili la Rice kua namba namba 8 mwenye faida na tishio zaid kuliko kua namba 6 , kila mara hua nalizungumza kua Arteta na Rice wasitudanganye kua yeye ni 6. Kwa tunaojua na tunaoona ni kua yeye ni 8 mwenye balaa saana..Nimetizama game kwa utulivu mpaka dk ya 80 hivi.
Mengi nimeyaona si mapya ni yale yale... Ubora wa partey hili jamaa, nasikitika tumechelewa kulipata na injuries zake.
ubora wa declan rice akiwa LCM
Shida za kai(nishazizoea na kukubaliana n uhalisia, ndio chaguo la mwalim)
Lakini kubwa kabisa ni huyu saka, ajiangalie saana, saka namuona ni mchezaji wa mfumo huyu, je akienda everton ataweza kushine hivi, je akienda pale man u atakuwa na nusu ya ubora wake hapa arsenal?
Kichekesho kuna muda mtaalam kai alikuja chini kuchukua mpira kwa tomiyasu akamfukuza na kumpasia mwingine.

Akiwa namba 6 hanogi sana, hapo LCM ni balaaHili la Rice kua namba namba 8 mwenye faida na tishio zaid kuliko kua namba 6 , kila mara hua nalizungumza kua Arteta na Rice wasitudanganye kua yeye ni 6. Kwa tunaojua na tunaoona ni kua yeye ni 8 mwenye balaa saana..
Hhahahaha iyo ya Kai na Tommy niliiona yan anataka pasi ya kitoto kabisa apewe hakukua na maana ya kupewa pasi ile na tommy kwel alimtimua![]()
Rive inabid acheze pale pale namba 8, atafutwe 6 wa maana tu. Vitu anavyotupa Rice kwenye 8 ni vingi sana.Akiwa namba 6 hanogi sana, hapo LCM ni balaa
Nilicheka, nikawaza vingi, kai amshukuru mnooo arteta, ikiwezekana ampunguzie mshahara wake.