Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bournemouth hio penalty tutakuja kuwalipia mechi inayofata kwenye dimba la Old Trafford, hii dhuluma kwenye mchezo haikubaliki kwa kweli.
Hata kama FA wanaforce mpewe kombe lakini sio kwa mtindo huu, hii ni fedheha kubwa sana kwa Epl.
Mkuu labda siku hyo security guard Flano wakupe jezi ucheze ila sio paka zenu zinazokimbiaga hovyohovyo uwanjani....msijipe matumaini kuona Hawa Bournemouth tumepishana nao hivi leo mkajua mtatuweza....mkijaribu kupishana na sisi na Yale matobo mnayoyaachaga nyuma kule...tusilaumiane siku hyo 🤠🤠🤠
 
Wafungwe Bournemouth waumie nyumbu
20240425_020418.jpg
 
Nimetizama game kwa utulivu mpaka dk ya 80 hivi.
Mengi nimeyaona si mapya ni yale yale... Ubora wa partey hili jamaa, nasikitika tumechelewa kulipata na injuries zake.
ubora wa declan rice akiwa LCM
Shida za kai(nishazizoea na kukubaliana n uhalisia, ndio chaguo la mwalim)

Lakini kubwa kabisa ni huyu saka, ajiangalie saana, saka namuona ni mchezaji wa mfumo huyu, je akienda everton ataweza kushine hivi, je akienda pale man u atakuwa na nusu ya ubora wake hapa arsenal?

Kichekesho kuna muda mtaalam kai alikuja chini kuchukua mpira kwa tomiyasu akamfukuza na kumpasia mwingine.
 
Una ajenda ya Siri na Kai...leo amecheza a complete game....sijaona ufala mkubwa... fighting spirit yake ni kubwa sana...Havertz hawezi kuwa Jesus hata siku moja na Jesus hawezi kuwa Kai...hili mnabidi mlizoee tu ndugu zetu🤠🤠
 
Msimu jana tulimaliza na points 84. Leo hii tuna 83, bado mechi mbili na kama tusingezingua, ingekuwa zaidi.

Tuone tutamalizaje msimu ili tuseme tumepiga hatua kwenda mbele ama tumerudi nyuma au tumeganda.
 
Back
Top Bottom