Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,082
😀 😀Htutaki shobo tuacheArserefa Arsevar nyie umbwa leo mmebebwa mpaka aibu nimeona mimi, bila msaada wa refa mlikua mnakufa goli zisizopungua 6.
Moto mliopelekewa leo lazima mtafute barafu.
Mechi na United wahongeni marefa wawabebe tena wajaa laana nyie, na kombe mtaishia kuliona tu kwenye magazeti Arsenyau kabisa. View attachment 2976136



