Wale ni watoto wa mama tu kwetu. Umeona jinsi wababe wa ligi tulivy tikisa ndoto zao za kuingia top 4 huku tukiwaacha nyuma points 20? Hawatuwezi wale. Tutafutie mwingine unayeona angalau anajuajua boli.Nyie Chuchunge mabingwa wa sinia la maharage mna mpya gani humu?
Mie nawakumbusha tu, Kesho ndio ile siku yenu rasmi ya kwenda kuzika false hopes zote za phase4, mnaenda kukutana na wahuni wa London tena wako nyumbani kwao, mbaya zaidi mnaenda kuwakuta kina Pedro Porro wapo kwenye harakati za kupambania kuingia top4
Aisee hizo shada za wapi😂🤣Namuona Arjen Ruben kwenye mikimbio ya SakaView attachment 2976273
Umerudi kundini baada ya kile kigenge chako cha Brighton and Hove Albion kuonekana kinarukaruka uwanjani sio....mjipange ndugu zetu...wiki 2 zijazo tunakuja tucheze bolu na nynyUnited hatuna cha kupoteza tena, UCL imeshaendha hivyo ili Arsenyani wajiweke nafasi nzuri kwenye mbio za ubingwa wa EPL ni lazima watufunge OT.
Itakuwa siyo kazi rahisi kwa Arsenal. Kwenye mechi nyingi Arsenal wanapokuwa under pressure huwa wanaboronga na ni kwasababu ya uchanga wa kikosi chao. Mechi kubwa namna hiyo inayoweza kumuweka Arsenal nafasi nzuri kwenye mbio za ubingwa inaweza kuisha vile Arsenal wasivyopenda.
Old Trafford it is. The Theatre of Dreams awaits.
Huyu jamaa ni Labyrinth wa manyumbuUmerudi kundini baada ya kile kigenge chako cha Brighton and Hove Albion kuonekana kinarukaruka uwanjani sio....mjipange ndugu zetu...wiki 2 zijazo tunakuja tucheze bolu na nyny
Bro, tuna wasiwasi jamaa anaumwa au kuna shida flani. Ile 5g tu tuliyompiga Chelkenge ilitosha kumfanya mwenzetu aonekane usiku ule ule, ila mpaka leo holaa.
Mpira mbinu na magoli.Arsenal fans ndio maana watu wanawaona mna matarajio ya kishamba sana. Kwa game ya jana Spurs aliwamiliki karibu kila kitu kasoro goli moja tu lakini mnavyojisifu utadhani mmecheza mpira wa maana sana. Spurs hawakuwa clinical vya kutosha tu ndio maana mmepata hizo point 3, bila kusahau msaada wa VAR
StandardsWatu bado wanajifananisha na Arsenal.
Striker anayeongoza magoli ni Haaland ila anatafutwa Jesus.
Tumeset standards bwana
StandardsHaters wanazidi kuwa msaada kwetu, wametuwekea standard ambayo ata timu zao haijawai fika hizo standard
StandardsUkiachana na haters kutuwekea standards za kutotakiwa kutoa sare ukiachilia kufungwa, Kuna standard mpya wameanza kutuwekea ya tushinde kwa style ya kumpa mbinyo mpinzani hadi ashindwe kupumua
Muda si mrefu tutawapa kile watakacho. Muda utafika tukimpiga mtu 4-0 tutaonekana hatujacheza mpira.Ukiachana na haters kutuwekea standards za kutotakiwa kutoa sare ukiachilia kufungwa, Kuna standard mpya wameanza kutuwekea ya tushinde kwa style ya kumpa mbinyo mpinzani hadi ashindwe kupumua
Mpira mbinu na magoli.