whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,190
- 2,541
ila hata kenge tulishawapa warningdanganya kidogo mkuu. ukiongea ukweli hivi mapema hivi, kuna watu wataweza kuzimia kwa presha.
unafikiri hawawazi basi.....hapo wanatamani siku zisogezwe mbele angalaumsimu huu ni msimu wa visasi kwa wale wote waliotusumbua hapo nyuma. Manyumbu watafikiwa na zamu yao na watapewa kichapo kama wengine. Hakuna atakae pona.
Safari hii tunaua nyani huku tuna muanggalia usonidanganya kidogo mkuu. ukiongea ukweli hivi mapema hivi, kuna watu wataweza kuzimia kwa presha.
manyuu ni kama demu flani mzurii,asiyejua kukataaSafari hii tunaua nyani huku tuna muanggalia usoni
Spurs walikuwa wamepumzika siku 15.Safari hii tunaua nyani huku tuna muanggalia usoni
itabidi anyweshwe za kutosha ili ETH aache kuongeaongea kuhusu gunersCasemiro beki...
Hii ni fursa ya kumpiga nyumbu 8-0 au 9-0 ili turekebishe mambo
kijana sio kila unaemuona humu ni mtoto mwenzio sasa we endeleaNdio nimependa tako lako. You doing great, endelea kuchanganya mav* yasigande!
Wewe jamaa huwa sielewi una shida gani lakini 😟😟 Mwenyezi akurehemu 😟Ndio nimependa tako lako. You doing great, endelea kuchanganya mav* yasigande!
😂 unamtisha nani sasa we boya, kama unaweza kwenda kushitaki nenda kashitaki. Humu jf tu mpaka sasa sijafungiwa!kijana sio kila unaemuona humu ni mtoto mwenzio sasa we endelea
kuna watu unawavumilia ila uvumilivu unazidiwa anapojikuta ame amkia central kwa charges za infringement harassment of malicious act in social communication.
utakapo kamuliwa faini za kutosha ndio huo mdomo wako utakuwa na pazia
last warming kijana
Anakupa height,anakupa duel anakupa perfect run,ahold mabeki vizuri Sana,hivi vyote gabby amfikii kabisa kai,magoli yote mawili aliyofunga na Chelsea kirahisi kabisa gabb anaweza kuyapoteza,na ni vitu muhimu Sana kiukweli Yeye ndiye amesababisha tumeweza kupata matokeo against big six,pia anakupa assurance ya kupatikana Karibu msimu mzma na energy Ile Ile ambayo kwa gabb huwez kupata,Yeye kai ndio mchezaji pekee Kwa Sasa uwanjani Wa arsenal anayeonyesha ajachoka kabisa na msimu.mimi ni very big fun Wa gabb wengine mnajua humu,na ninajua Kuna baadhi ya gemu gabb anaweza kutuamulia hata Kwa kutafuta penalty,Lakin kiukweli kai amekuja kuongeza vitu vingi muhimu Kwa sisi kuwa title contenderstaja kitu kimoja anachokupa kai over gabby . alafu tuendelee
Boli unalijuaAnakupa height,anakupa duel anakupa perfect run,ahold mabeki vizuri Sana,hivi vyote gabby amfikii kabisa kai,magoli yote mawili aliyofunga na Chelsea kirahisi kabisa gabb anaweza kuyapoteza,na ni vitu muhimu Sana kiukweli Yeye ndiye amesababisha tumeweza kupata matokeo against big six,pia anakupa assurance ya kupatikana Karibu msimu mzma na energy Ile Ile ambayo kwa gabb huwez kupata,Yeye kai ndio mchezaji pekee Kwa Sasa uwanjani Wa arsenal anayeonyesha ajachoka kabisa na msimu.mimi ni very big fun Wa gabb wengine mnajua humu,na ninajua Kuna baadhi ya gemu gabb anaweza kutuamulia hata Kwa kutafuta penalty,Lakin kiukweli kai amekuja kuongeza vitu vingi muhimu Kwa sisi kuwa title contenders
Man city ashinde mechi zake ila kutegemea Man utd amfunge Arsenal ni ndogo za alinacha.. Ni rahisi Arsenal kuharibu kwa Bornemouth kuliko Man utdMan U atakufanya kitu mbaya ..
OT pale najua nyie manyang'ao hamtoki salama
kama wanawategemea wakina eriksen, casemiro, magwayaMan city ashinde mechi zake ila kutegemea Man utd amfunge Arsenal ni ndogo za alinacha..
Una jisikiaje huko ewe malkia wa mipasho😂😀🤣Nyie Chuchunge mabingwa wa sinia la maharage mna mpya gani humu?
Mie nawakumbusha tu, Kesho ndio ile siku yenu rasmi ya kwenda kuzika false hopes zote za phase4, mnaenda kukutana na wahuni wa London tena wako nyumbani kwao, mbaya zaidi mnaenda kuwakuta kina Pedro Porro wapo kwenye harakati za kupambania kuingia top4
Tume toka kuli ongelea saa 11 asubui 😀🤣Kai na arteta sijui wana ushemeji.
Timu inahitaji striker, ambae atashuka kuchukua mipira na kusogea nayo juu, striker ambae anasumbua mabeki akiwa na mpira, stiker sharp
Naandika haya, bwana kai kapiga pasi ya goli
Goli linachekiwa.....
Ni chumaaàaaa,
Chuma ya pili.
Ama kweli hakuna ng'ombe asiefaa, kai kasaidia chuma ya pili. Ila bado tunahitaji JESUS