Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hizi false hopes ndio zinafanyaga kuna watu wanajitundika baada ya ligi.Arsenal bingwa msimu huu
Katika mechi tano zilizobaki Man City lazima atoe sare hata moja
Unakumbuka msimu wowote Kipara alidraw kwenye mechi zake tano za mwisho?