United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,234
- 6,596
game kawabeba sana hiiRaya, lile boko kaharibu saana, hii ni penati dhahiri, bila hata ya VAR, refa akiwapa penati na wakifunga, game itakuwa ngumu mnooo
game kawabeba sana hiiRaya, lile boko kaharibu saana, hii ni penati dhahiri, bila hata ya VAR, refa akiwapa penati na wakifunga, game itakuwa ngumu mnooo
Raya kawarudisha mchezoni kwa lile kosa.Raya, lile boko kaharibu saana, hii ni penati dhahiri, bila hata ya VAR, refa akiwapa penati na wakifunga, game itakuwa ngumu mnooo
Raya alizingua sana hii gemu ishakuwa ngumu
Ziongezwe dakika chache hali ishakua teteNa ngumu kweli kweli... Hapa tutapigwa msako wa hali ya juu
Refa hana baya, wala deni na sisi.game kawabeba sana hii
Hii game tunadrawKwa matokeo yoyote leo, Man City hana game atakayopoteza, yaani hata sare man city hapati.
😂 poleniFriends of Tottenham tumalize hilo game sasa 💪
Tunahitaji goal difference pia, ikitokea City amedraw game moja kitakachotuokoa ni gd pekeeDuuuh points 3 muhimu
Tunahitaji ubingwa
COYG