Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa kuaminiwa alikoaminiwa kai, nae angeaminiwa hivyo, nilikuwa naona makubwa mno toka kwake.

Kai kufika leo, kocha kamuonesha imani kubwa mnoo, wakati mashabiki wanamlalamikia kai yeye alikuwa kwake bega kwa bega.

Rudisha kumbukumbu msimu uliopita kabla jesus hajaumia, alikuwa na kiwango kikubwa mnooo, mpaka alipokuja kuumia, aliporudi hakuaminiwa tena, akawa mtu wa sub tu, msimu huu umeanza ni yale yale, binafsi kwa mpira aliokuwa nao jesus nina imani nae kubwa mnoo.
Alikuwa kiwango ila hakuwa mfungaji mzuri, tangu aje arsenal niambie kafikisha double digits mara ngapi mkuu. Na kipindi amekuja alipewa nafasi kama anavyopewa Kai.
 
Alikuwa kiwango ila hakuwa mfungaji mzuri, tangu aje arsenal niambie kafikisha double digits mara ngapi mkuu. Na kipindi amekuja alipewa nafasi kama anavyopewa Kai.
Double digits anazipataje, aliumia game ya ngapi na alivyotoka majeruhi ndio hivyo namba kapoteza.
 
Low block time

Toa Kai aingie Jesus
Toa odegard aingie joginho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom