Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyinyi mmekua wabovu kwa miaka zaidi ya 12.

Kwanini mna ushawishi kuzidi city?

Unadhani mna kitu special?

Pep alivyosema angekua unyumbuni na kupata robo ya mafanikio ya city angefurahiwa sana unadhani ni kwa vile mna kitu special?

Hatuendi jukwaa la city kwakua wana shabiki mmoja tu naye ni chizi.
nyumbu hawajawahi kuwa na akili ... naona wamebaki kuhype vitoto havina ata kaliba ni ubishoo tu.imagine pale unyumbuni wangekua na kinda kama bukayo saka au martin ulimwengu ungesimama
 
nyumbu hawajawahi kuwa na akili ... naona wamebaki kuhype vitoto havina ata kaliba ni ubishoo tu.imagine pale unyumbuni wangekua na kinda kama bukayo saka au martin ulimwengu ungesimama
Hyping PR ni kubwa kuliko uwezo
 
Kuna jamaa anakuambia Arsenal tumnunue Rashford kisha tumu-unlock.

Ndiyo unagundua waingereza wanajua kubebana
 
Wakimchoka watuuzie kwa aftatu atatufaa...yle kijana anahitaji mwalimu mzuri tu...pale namuona Andy Cole mtupu ndani yake
Kuna jamaa anakuambia Arsenal tumnunue Rashford kisha tumu-unlock.

Ndiyo unagundua waingereza wanajua kubebana
 
Kabla hajaanza nyondo zake, lakini baada 350K per week, hakuwa Ozil tuliyemjua
Tunapofananisha mchezaji anachukuliwa huyu kwenye peak yake na huyu kwenye peak yake.

Kwangu hata yule ozil wa kawaida, siwezi mchukua kai huyu ambae ndio yupo kwenye ubora wake, labda kai abadilike zaidi ya hapa
 
Wao si wana Kasemiro maunoo na Bruno
Sijui stats sasa zinasemaje, ila wakati Casemiro anacheza DM, aliongoza ligi kwa kupigwa chenga. Sasa naona kama vile anacheza CB, sijui hapo yukoje. Huyu akutane na Jesus au Martinelli au Saka au Trossard, nahisi anaweza kujikuta katika wakati mgumu sana.
 
Pochettino, 07 November 2023:
“Too many coaches wanted VAR… and now, when it’s against you: ah, no! It’s a disgrace, it’s difficult!”.

“I’m not talking about Arteta, eh…”


View: https://twitter.com/FabrizioRomano/status/1721747781944041566?t=b02Xu_MGgU2ID-5PcJm10Q&s=19



Pochettino jana, 28 April 2024: “VAR damaged English football for me, damaged the image of football”.

“It was a goal. It’s unbelievable and ridiculous. Two weeks ago against Man City, it was handball and it was not a penalty…”


View: https://twitter.com/FabrizioRomano/status/1784334699508257086?t=EWcIY1OktYpAQTqDQmdfBA&s=19
 
Sasa mkuu, hiki ndo wadau wanakipagania humu. Kuwe na CONSISTENCY kwenye maamuzi. Haiwezekani similar situation iwe na maamuzi tofauti.
Screenshot_20240428-115600.jpg


Pochettino aaache kulialia
 
Sijui Arteta atakuwa amewaandaa vipi wachezaji kwa leo kuendana na tempo ya mechi.. maana tukubali Spurs si haba na tukikaa vibaya tutachezea.. Ukweli ni kwamba mechi kama hizi zenye pressure Arsenal huwa ni Kisanga kwake na bado kuna baadhi ya wachezaji huwa wanakuwa na kimuhemuhe. Mechi ya leo inamuhitaji sana Thomas Partey kwasababu ndio mchezaji pekee anaweza kuituliza timu na kuamua wacheze vipi.. Lakini unaweza shangaa Arteta akaanza na Jorginho kati..
 
Leo task ni moja.

Kuchukua brash na rangi nyekundu na kuipaka London ili kuhitimisha kua London is red.

Msimu uliopita kikosi cha bei cha kenge tulikiacha points 40, msimu huu mpaka sasa hivi ni points 30. Spurs wamekua wabishi.

Spurs wanacheza mpira mzuri sana wa counter na transition. Wanafanya pia highline pressing, hii pressing ndiyo ilirudisha goli la 2 first leg. Lakini mpaka leo ni timu moja tu pale EPL inaweza kutufanyia highline pressing na wakaondoka na points 3.

Blue print is there. Against Arsenal go for haram football rely kwenye counter na transition kisha uwe na long shot merchant.

Spurs ana vyote hivyo vitatu lakini utayari wake wa kupaki basi unaweza kubadilisha matokeo. Arsenal tuna presha, tunahitaji points 3 na tunahitaji magoli mengi.

Natarajia upinzani kwavile hii ni derby
 
Back
Top Bottom