Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

nitakuja kuwafiriji tu humu na kuwasisitiza msikate tamaa na phase 5 inayofata ambayo ndio phase ya makombe
Kikubwa nilichogundua hili jukwaa bila ya uwepo wa ndugu yangu masingeli hua linapoteza kabisa mvuto.
Cha-mbuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi tuko chini ya miguu yako tunakuomba urudi utupe mchanganuo wa jinsi timu yetu ya Arsenyo itakavyo cheza fainali ya Uefa kwenye uwanja wetu wa nyumbani pale Wembley View attachment 2971758
Japo mi ni arsenal, ila huyo masingeli, sijui ma singledi apite kushoto
 
20240423_210649.jpg
 
Oya wanangu wa Arsenal leo tutoe wasiwasi leo Chelsea tunamla vizuri tu wala hatotusumbua ili tumshushe Man City nafasi ya 2 huko akagombanie FA na Manure.
 
harvetz wa nini kwa hii mechi ya leo waungwana
Nafikiri Arteta kaona timu nyingi tukicheza nazo zinafanya low block so Havertz anakuepo kwa ajili ya runs na kusumbuana na defense.

Ndiyo maana partey kaanza kwa ajili ya zile thru balls na long balls
 
Today Arteta will change the doubters to believers 💪
Here EPL is coming home 👏
 
Nafikiri Arteta kaona timu nyingi tukicheza nazo zinafanya low block so Havertz anakuepo kwa ajili ya runs na kusumbuana na defense.

Ndiyo maana partey kaanza kwa ajili ya zile thru balls na long balls
Partey sijui kama atakuwa na match fitness. Kwa sasa nafikiri Jorginho yuko fiti zaidi ila Partey ni mchezaji mzuri zaidi. Tuone itakuwaje.
 
Partey sijui kama atakuwa na match fitness. Kwa sasa nafikiri Jorginho yuko fiti zaidi ila Partey ni mchezaji mzuri zaidi. Tuone itakuwaje.
Upo sahihi, mimi pia nimewaza hivyo hivyo.

Ila Jorginho ni risk kwenye kukaba. Chelsea ina wachezaji wengi wenye pace, so counter kwao ni option nzuri leo
 
Upo sahihi, mimi pia nimewaza hivyo hivyo.

Ila Jorginho ni risk kwenye kukaba. Chelsea ina wachezaji wengi wenye pace, so counter kwao ni option nzuri leo
Leo tunatakiwa tuwe na accurate passes nyingi ili kenge wakimbie wachoke, na kuwa effective kwenye box. Tuache masihara kwenye umaliziaji.
 
Nimeona nije mapema kuwakumbusha nyie Punda wa kwenye mashamba ya mpunga, Leo tunawakanda bila huruma.......tukiwasamehe sana basi tunawatia DUDU hiziiiiii.......Mbili (2), lakini kama POCH akiwaambia madogo ule msemo wa NO MERCY, basi ninauhakika mashabiki wa asenyani (Punda wa kwenye mashamba ya mpunga) wote mtazima TV na wengine kutoroka vibanda umiza.
 
shutka,hizo ndoto sio nzuri
 
Back
Top Bottom