Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi nitakuwa napita daily humu kuwakumbusha, mpaka mashindano yote 23/24 yaishe.

1. Carabao cup : ❌❌❌❌

2:EPL loading : FALSE HOPE 🔞

3: UEFA loading: FALSE HOPE🔞

4: FA Cup : FALSE HOPE: ❌❌❌❌
Tusameheane kwa kutowakumbusha kwa siku mbili tatu. Ni hivi

1. CARABAO: MMETOLEWA❌❌❌❌

2. FA CUP: MMETOLEWA❌❌❌❌

3. UEFA CHAMPIONS LEAGUE: MMETOLEWA❌❌❌❌

4. PREMIER LEAGUE: BADO MNADANGANYANA MTASHINDA(🔞🔞🔞🔞)

Kesho tunaleta msiba rasmi Emirates hapo.Tunakuja kuwakata ngebe.
 
Kwa kua mnaenda kucheza na Luton sio? Endeleen kuota kama kawida yenu false hoppers
Tunacheza na Chelsea ambayo huwa tunaifumua miaka yte...hatukumbuki ni lini mara ya mwsho kutusumbua....Bora tuogope kucheza na Luton lakini sio Chelkenge🤠🤠
 
False hopers mpo😆, kitambo sana asee nitangulize polee kwa kutolewa uefa na bayern ( timu tuliyoambiwa ni mbovu na bwana yule ivi bado yupo haha).

Wakati hayo yakiendelea group tuliokua Newcastle timu zote 2 zipo Semifinal, kifupi one of the team inaenda final
 
Long time bro. Tumefurahi kukusoma maana imetupa amani kuwa uko poa. Karibu uungane na wachawi wenzako kina Allypipi, Mbaga, Bonnie Gold na wengineo mkuongozwa na rais Flano na makamu Mkohoti kufuta machozi ya failures zenu kwa kufurahia failures zetu
 
Sio kwmba alikuwa haingii hmu ndani kuchungulia ila anapata wapi nguvu ya ku comment wkti akiangalia ana point sijui arobaini na kitu sijui hamsini🤠🤠🤠....alishachagua kushangilia kikundi cha vurugu abakie hukohuko
 
Unakumbuka alivyoodoka chamani kwa mbwembweeeeee 😄😄😄. Mechi za mwanzoni mwanzoni wakishinda anakuja kutuonyesha jinsi Wilson, sijui Isak, mara Gordon walivyo juu ya Jesus na Martinelli.... Sasa anashangaa watu wenye magoli 8 wako kwenye timu yenye GD kubwa kuliko points za timu yake, anajikuta hana la kusema 😄😄😄
 
🤣🤣🤣🤣...usikute nilikuwa nasumbuana na kijana wa Form 4....hzi ID zinaficha mengi sana
 
Sio kwmba alikuwa haingii hmu ndani kuchungulia ila anapata wapi nguvu ya ku comment wkti akiangalia ana point sijui arobaini na kitu sijui hamsini🤠🤠🤠....alishachagua kushangilia kikundi cha vurugu abakie hukohuko
Humu nilikua siingii kabisa nilikuwa naangalia game nawakumbuka basi nacheka mwenyewe.
Yule false hopers aliwaaminisha mnacheza final wembley na akasema UEFA ni kombe rahisi kubeba ma false hopers mnafurahia kweli kupewa false hopes, haya kiko wapi ? tuliwaambia mpaka sasa mlikua hamjakutana na team ya maana unakutana na lens, psv na porto then unajiona ww bingwa 😆.
Kuna ndezi mmoja alikua anatengeneza kabisa maneno kumlisha peter dury kuhusu final ya wembley , tukamwambia icho unachofanya ni hope but sadly ni false hope arsenal hachukui kombe lolote msimu huu wala kuingia final yoyote but as usual tukiwaambia ukweli inafika sehemu mnatukataza kuwa quotes kabisa 😆😆
 
Unakumbuka alivyoodoka chamani kwa mbwembweeeeee 😄😄😄. Mechi za mwanzoni mwanzoni wakishinda anakuja kutuonyesha jinsi Wilson, sijui Isak, mara Gordon walivyo juu ya Jesus na Martinelli.... Sasa anashangaa watu wenye magoli 8 wako kwenye timu yenye GD kubwa kuliko points za timu yake, anajikuta hana la kusema 😄😄😄
Mwisho wa siku pamoja na GD nyingi bado mtatoka trophyless mkijazana ujinga wa tupo false 4( phase 4) mara false 5 kutakuwa hamna tofauti kati ya position ya 2 na 10 then tutaangalia individual performance nadhan hamna aliyemzidi isak timu au trippier timu yako nzima.
 
Humu nilikua siingii kabisa nilikuwa naangalia game nawakumbuka basi nacheka mwenyewe.
Yule false hopers aliwaaminisha mnacheza final wembley na akasema UEFA ni kombe rahisi kubeba ma false hopers mnafurahia kweli kupewa false hopes, haya kiko wapi ? tuliwaambia mpaka sasa mlikua hamjakutana na team ya maana unakutana na lens, psv na porto then unajiona ww bingwa 😆.
Kuna ndezi mmoja alikua anatengeneza kabisa maneno kumlisha peter dury kuhusu final ya wembley , tukamwambia icho unachofanya ni hope but sadly ni false hope arsenal hachukui kombe lolote msimu huu wala kuingia final yoyote but as usual tukiwaambia ukweli inafika sehemu mnatukataza kuwa quotes kabisa 😆😆
Uwe unaingia ingia bhana. Wachawi kama nyie ndio mnachangamsha jukwaa na kuupa ushabiki wa mpira ladha
 
Yani leo mmepigwa chache tano
Amka mkuu...tafuta chapati na chai unywe...ndoto unayoota mbaya utaishia kula magodoro🤠🤠....leo tunamaliza jambo letu na Hawa videri Chelkenge....kesho tutakuwa mubashara na Everton tukiangalia ugomvi wa mawe
 
Chelsea kwenye Uzi wao eti wanasema watakupigeni nyingi.

FT:

Arsenal 2 - 1 Chelsea
 
Mwisho wa siku pamoja na GD nyingi bado mtatoka trophyless mkijazana ujinga wa tupo false 4( phase 4) mara false 5 kutakuwa hamna tofauti kati ya position ya 2 na 10 then tutaangalia individual performance nadhan hamna aliyemzidi isak timu au trippier timu yako nzima.
Kwa hiyo unashauri tuwanunue Isak na Trippier?
 
Hata Bayern mbovu mlikua pia hamuiogopi, mnakomedi sana nyie!! ndio mana tunapenda kuja huku jukwaani kwenu kuondoa stress.
Ndo maana ya ushabiki mkuu. Unatakiwa uchuje, kuna kipindi linazungumzwa ball, kuna kipindi ni ushabiki. Sasa mimi naanzaje kusema Chelsea anatufunga leo?

Leo Cheltako mkong'oto unawahusu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mwisho wa siku pamoja na GD nyingi bado mtatoka trophyless mkijazana ujinga wa tupo false 4( phase 4) mara false 5 kutakuwa hamna tofauti kati ya position ya 2 na 10 then tutaangalia individual performance nadhan hamna aliyemzidi isak timu au trippier timu yako nzima.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hawa Kima kila msimu wanatoka Mikono mitupu halafu kwa aibu wanatafuta vitu visivyo na faida yoyote vya kujivunia navyo, mwaka juzi yamemaliza ligi nafasi ya 5 Masingeli akawadanganya kua kwao nafasi ya 5 haina tofauti yoyote na ubingwa maana wao ndio wanaongoza kwa cleanshit[emoji2][emoji2][emoji2]
Msimu ulioisha wameongoza ligi kwa siku 258 halafu kombe wakabeba wengine, Masingeli akawaambia watembee vifua mbele maana timu yao ndio inayoongoza kwa Pressing & Overloading pamoja na Position Interchange[emoji1][emoji1][emoji1]
Msimu huu wakati unaanza Masingeli Akawadanganya tena kua Arsenyo ya msimu huu ndio ile Arsenyo ya Asali na Maziwa waliokua wakiisubiri kwa miaka 40 iliyopita na tayari wameshafika nchi ya ahadi hivyo msimu huu lazima Arsenyo itabeba treble[emoji3][emoji3][emoji3]
Mashabiki waliokua na wasiwasi juu uwezo ya timu yao kubeba Uefa Masingeli akawahakikishia kua hakuna kombe rahisi duniani kubeba kama hilo kombe la Uefa, tena akawatolea mfano wa Madrid ni timu mbovu ambayo haifikii hata robo ya ubora wa timu ya Arsenyo lakini wana Uefa 14[emoji16][emoji16][emoji16]
Msimu huu waliodanganyana wanabeba treble wanamaliza pia mikono mitupu halafu utawasikia kina mkorea na arsenal2004 wanawajaza ujinga wenzao kua wanapaswa wajivunie timu yao maana ndio timu yenye GD kubwa kuliko timu yoyote duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1713782188650.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom