allypipi
JF-Expert Member
- May 10, 2020
- 3,331
- 10,957
naona hata ile ID fake ya gwiji la Highbury imepotea🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitakuja kuwafiriji tu humu na kuwasisitiza msikate tamaa na phase 5 inayofata ambayo ndio phase ya makombe[emoji16][emoji16][emoji16]
Kikubwa nilichogundua hili jukwaa bila ya uwepo wa ndugu yangu masingeli hua linapoteza kabisa mvuto.
Cha-mbuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi tuko chini ya miguu yako tunakuomba urudi utupe mchanganuo wa kucheza fainali ya Uefa kwenye uwanja wetu wa nyumbani pale Wembley [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2971758