Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Madrid huwa anahitaji 1% ya bahati kupita

na huwa hawapendi zarau na Mazoea na kombe lao hilo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] City nae katolewa kwa penalties, hasira zake zote anaenda kumalizia kwenye ligi[emoji16][emoji16][emoji16]
Pole yao wale ambao wana mechi za ligi na City.
watu wataomba poo spurs na wakina wolves kazi wanayo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masterclass in failure.
Tafuteni kocha wa kueleweka la sivyo kila msimu mtaishia kua wasindikizaji tu huku mkihadaiwa na phase zisizoisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masterclass in failure.
Tafuteni kocha wa kueleweka la sivyo kila msimu mtaishia kua ni wasindikizaji tu huku mkihadaiwa na phase zisizoisha.
Sisi tunaenjoy n tumeridhika alipotutoa na sasa tulipo ni PAKUBWA MNOOOO

Mengine ni furahisha genge, nae ni binadau lazima akosee lakini mazuri na makosa yake haviendani, mazuri yake mengi mnoooo
 
Wazee wa overload. positional play, inverted pressing na aerial duels won sijui watakuwa wana hali gani uko waliko. Ndani ya wiki moja wanapoteza matumaini ya makombe 2 mfululizo. Rudini Dubai mkafanye mazoezi yenu ya kunyanyua vyuma tena.

Kusema kweli Arsenal wanalazimisha kucheza sexy football isiyowanufaisha kimatokea hasa mechi kubwa na muhimu kama hizi. Wanamiliki mipira na vipasi vingi visivyokuwa na maana, kila wakati wana recycle mipira tu na mbinu yao inakuwa ile ile kila mara.

Leo mganga wa Trossard naona hajaamka vizuri hivyo tukutane msimu ujao
 
Kuna asenali ya jukwaani ya wazee w mapenzi upofu na asenali ya kule wingereza yenye kina kai๐Ÿ˜‚... ANGALIZO Moja ni matokeo yake unaambiwa kabla ya mechi pili matokeo yake baada ya mechiiii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚aloooo usizichanganye utapata kifukutoooo......
Poleni asenali lia lia,arteta kajitahidi ila supakompyuta limemuangusha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ