toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,911
- 12,370
Wenzetu city wanapambana wame equalize sisi sasa aisee
Kmmk ile siku nlikasirika sana aisee game nliivalia mpaka jezi mpya yan daah kila mwaka aloo🤣🤣🤣🤣 Mimi ndiomana niliacha ushabiki niliwahi kupasua simu kwa hasira, juzi hapa ndio nimeanza tena…! Huwezi amini ile siku tumefungwa 2 na Aston Villa niliumwa
Mimi sina hamu nilipata homa kali kila aliyekuwa ananicheka nilimlamba block 😂😂😂Kmmk ile siku nlikasirika sana aisee game nliivalia mpaka jezi mpya yan daah kila mwaka aloo
Mkimaliza kulaumiana mtujulisheArteta ni mpuuzi wa Karne, Kai Ali paswa aanzie sub. Ona Sasa🤒
Imekuwa hivyo tenaHatujawa tayari for UCL
Mkimaliza kulaumiana mtujulishe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wanazingua sana na wenyeweMimi sina hamu nilipata homa kali kila aliyekuwa ananicheka nilimlamba block 😂😂😂
Sana kila mwaka tunasindikizaWanazingua sana na wenyewe