Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kocha sasa
 
Shoga yoyote huwa anadhani kupelekewa moto yeye ni rahisi pia kwa wanaume wengine.. No wonder umeanza accusations kwa wanaume wengine na probably inaonekana ulishawahi kukaa kwa shemeji yako akakupelekea so umeshajenga mentality kwamba ukikaa kwa shemeji lazima upelekewe.
 
Watu wanamtaka Isak Arsenal.

Ila jamaa anacheza vizuri kwenye counter.

Arsenal tunachezewa sana low block.

Sidhani kama atashine kama watu tunavyohisi, unless achezeshwe kama Kai. Ana skills na nguvu, anaslip kufanya runs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…