Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona sasa hawa Aston villa wanaanza kuingia kwenye mfumo. Huu uchezaji wao ni suala la muda tu.
 
Leo nipo na nyie asee shindeni tuu huyu kipara asiachiwe hili kombe kwa namna yoyote hata kwa goli la mkono.
 
Back
Top Bottom