Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Still City ni viazi
 
🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY

Bayern M vs Arsenal (pre game Analysis)

✍🏾 Ni Match nyingine ambayo inahitaji Umakini, Utulivu, Na Ambition ya Ushindi.

✍🏾 Hatua Mtoano uwa ni matukio tu yanaamua nani mshindi, sio umecheza vizuri vipi kama huwezi kufunga zaidi mpinzani,unatolewa.

✍🏾 Bayern Kwenye Mzunguko wa Kwanza Waliamua kujitoa mwanga kuacha mpira,wao wakadeal na Transitions.

✍🏾 Sababu walizijatiti kushinda Second balls nyingi, wakiwa wameamua kupiga mipira mirefu, Walikuwa na Winger wenye kasi

✍🏾 Bahati yao Wakatukuta tunaacha nafasi kubwa kuwapa muda kukimbia wingie mfano Sane. Bayern walikuwa wanakaba Compact, asa maeneo katikati kutulazimisha kwenda pembeni.

✍🏾 Je Bayern watakuja Approach hii tena wakiwa Nyumbani sidhani, nafikiri watahitaji kumiliki mpira pia ili wapate uhakika kutengeneza nafasi nyingi za magoal.

✍🏾 Tuchel uwa ni yule yule abadiliki sana ila anafanya tweak kidogo tu, kwenye approach yake kimchezo hapa Arsenal anatakiwa kuadapt hizo changes ili aende nae sawa

✍🏾 Kwa Vile Bayern wakiwa wana miliki sana mpira wanakuwa watu wengi kwenye last line ushambuliaji.

✍🏾 Arsenal moja tunatakiwa kucheza game hii tukiwa Less Emotional. Lengo kuwafanya wachezaji kuwa Concetration kitu kimetuadhibu game 2 hizi.

✍🏾 Kama Bayern ataamua kumiliki mpira basi sisi tucheze Transition game, tuwe makini kutengeneza matukio Mengi ya hatari

✍🏾 Nafikiri ata Pressing tuanzie Mid block , tuhakikishe mistari kati Back line , Midfield , Forward line , tukiwa tunakaba iwe narrow ili kutotoa nafasi kukimbia.

✍🏾 Arsenal anatakiwa pia kuhakikisha anatumia nafasi, Bayern sio wazuri sana kuzui transtions games hivyo kama tukiweza kuwacatch moments kama hizi tutumie nafasi ipasavyo.

✍🏾 Naamini hakuna linaloshindikana ni ambition tu na kupambana.

Amigos
 
Spurs mlevi anapigwa gongo 4 na Newcastle akamfunge city ndugu akili za kilevi kabisa , arsenal perfect team alikaa nyuma kwa city
 
Huyu umenyoosha ,wakati city kapigwa chuma mbili na astonvilla mechi ya mwisho na ushindi ni lazima kunyanyua ndoo ,washabiki wangeondoka sijui ingekuwaje
 

Sasa Hao unaowasema siwajui ,hiyo miaka 2000 mim sikuwa hata nafuatilia mpira ,na wala sijutii ,.....wewe kama umezaliwa 1880 huko kimpango wako na timu zako ....

Harafu mim Ni shabiki WA mpira Kwa kuangalia sio Kwa kufuta upepo WA watu ,kama ningeanza kuwa nafuata mashati na kelele za watu basi ningekuwa shabiki WA united au Chelsea ....maana ndio walikuwa moto kipindi kile ,ila mim niliangalia mpira live nikujua man city this is my team waoooo,,2012 tukachukua pL katika mazingira ya hisia kaliii...Kwa kipindi naanza kukanyaga kibanda umiza kuangalia football man city ndio anakuja top ,....hio arsenal nilikuwa hata siijui ,labda man utd na Chelsea ndio kidogo japo hata sikuvutiwa nao....
 

pol
asa kijana ujaona ata Emanuel ad
kwahyo wakati Emmanuel Adebayor anawafunga Arsenal anashangalia Goli kama mwehu ulikua Shule Msingi pole sana
 
Hivi siku hizi ule ukuta wa chuma wa Saliba, White, Magalhaes, Kiwior wakilindwa na Mchele umepumzishwa? Mbona kama jamaa wanavuja sana huko nyuma!
Bayern kajiokotea bao zake 2 safi, vile vile Villa.

Au safari za kupeana motivesheni Dubai siku hizi hazipo?
 
naona vipigo mfululizo inawamendea 😂

MUNICH 🚫
WOLVES mmejitahidi Sana ni draw 😂
CHELSEA 🚫
TOTTENHAM 🚫
 
Umeshiba zako ugali wa maharage kwa shemeji yako, yamekulevya unaingia jamii forums kuandika upuuzi, badala ya kutafuta namna ya kujikwamua uache kuishi kwa shemeji yako,aliyeolewa ni dada yako sio wewe fala ww. Kazi kufuga makalio tu kwa shemeji yako hapo. Atakukula na ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…