Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Snapinsta.app_437167127_1107941493752911_1368874566817534916_n_1080.jpg

 
Huyu Mateta wa Palace sijui hua anafanya nini mazoezini hadi anapata namba constant
Kuna yeye na Ayew, yani hawana tofauti kabisa ni Sawa na NAFUU NA AFADHALI

Mwisho wa siku game inakuja kuisha majogoo wanaogoza goli 3 maana hawa jamaa kutokea nyuma na kushinda kawaida yao
 
Mi tukiwa tunacheza na Villa kinachonisumbua ni uwepo wa Emery na Martinez.

Hawa naamini wakiambiwa walale njaa wiki ili watufunge hawatokataa.

Tuna changamoto kwenye ratiba yetu kwamba tunacheza leo kisha katikati ya wiki tuna Bayern. All big teams do this so hiki kisiwe kisingizio kwetu.

Naprefer Partey aanze badala ya Jorginho, ampishe Jorginho baadaye. Trossard na Jesus wawepo, Odegaard na Rice wawepo pia.

Villa hawatoona tabu kufanya low block, so kama hivyo ni sahihi zaidi tukaanza na Kiwior au Tomiyasu. Backline iliyobaki iwe ile ile.

Tunatakiwa kumhofia Tielemans, long shot merchant. Diaby kwa speed yake na kutoogopa boksi same na Bailey ana traits hizo pia.

Pep alisema hua tunamaliza games dk ya 25. Lets do exactly that.
 
Back
Top Bottom