Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kipa alikosea, alitoka sehemu ambayo beki wake hajashindwa alikuwa ana asilimia 95 ya kuucheza ule mpira, hivyo alikosea kutoka vile, katoka kwenda kuucheza sio kujisogeza apasiwe kwa urahisi, hili ndio kosa la raya,

Tunakubali kukosea ni sehemu ya mwanadamu na kwangu nahisi kosa lile ni la kwanza kwake, hatusemi HAKUKOSEA, kafanya kosa nasi tunaona ni bahati mbaya.
Kosa jingine la Raya, wakati wa kupiga penalty, uwa ana move mapema, kiasi cha kumfanya mpiga penalty asiwe na wakati mgumu kuchagua angle ya kuupeleka mpira
 
1. Carabao cup: ❌❌❌❌

2:EPL loading: FALSE HOPE 🔞

3: UEFA loading: FALSE HOPE🔞

4: FA Cup : FALSE HOPE: ❌❌❌❌
 
🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY

ARSENAL VS ASTON VILLA ( Pre game Analysis)

✍🏾 Ni match Nyingine mbayo sio rahisi inahitaji utimamu mkubwa kwenye kuset Mbinu kiuchezaji.

✍🏾 Aston Villa Ya uni, ni moja kati team ambazo zipo vizuri kwenye build attacking ya kasi, wanafanya transtions ya mifumo haraka sana.

✍🏾 Unai Primary set up unamkuta akicheza 4-2-4 au 4-2-2-2, lengo kuoverload eneo la kiungo, na kuweka presha kwenye Lango mpinzani, kwa idadi kubwa ya wachezaji.

✍🏾 Unai 4-2-4 akifanikiwa kufika Robo tatu mwisho uwanja, mpinzani uwa anashift kuwa 3-2-5 lengo kuwa idadi kubwa wachezaji eneo la mpinzani wakijaribu kutafuta isolation, Overloading nk.

✍🏾 Pia Unai mdau game kutumia nguvu sana Kukosekana kwa Dogras Luiz ni pigo kwao kiasi fulani ila watu kama kina watkins ni threats Diaby, Mc ginn, na Bailey.

✍🏾 Arsenal Kwa vile villa anahitaji kumiliki kiungo basi sisi hatuna budi kufanya zaidi anacho kifanya kwenye build up.

✍🏾 Kuhakikisha Tuna mpin nyuma Villa kwa kutumia overload strategy kwenye build up Arsenal wanatumia Box midfield au Rhombus hii inasaidia kupata Spare man na mipira kusogea mbele inasaidia kuua press ya mpinzani

✍🏾 Hapa tunatakiwa kuwa makini kama Villa au sisi tukiamua kutumia Long balls basi tushinde second balls nyingi maeneo yao hatari tufanye shambulizi haraka

✍🏾 Kuhusu 4-2-4 villa basi sisi hapa tutakiwa kuinvert kwanini FB mmoja aweze kuongeza idadi wachezaji eneo l kati kati tukiwa na structure 3-3-2-2 au 3-5-2 hapa tayari tunaweza kuwaout number ila kocha anajua set up yake, kumbuka 3-5-2 ni kwa ajili kubypass tu tukifanikiwa kufika kwao tunarudi hapa 2-3-5 au 2-2-6.

✍🏾 Mwisho tunashambulia vile vile iddi kubwa wachezaji last line hii siraha kubwa kupata space kimbinu.

Amigos
FB_IMG_1712855896765.jpg
 
😂😂😂😂😂😂

Hivi hamjawazoea mashabiki wa Ar8
Masingeli huwa anawaona waone kila kitu ni easy
Yaani wapo kama motivational speakers,,they take things so easy.


Kuna dogo nimemwambia Jana kuwa Arse8 akichukua UEFA Nampa kiinfinix changu..yeye anipe kitochi.
Dada habari, naomba matokeo ya jana kule anfield yalikuaje
 
Furaha yangu ni kuona Arsenyani wanatolewa UCL mapema. Kwenye EPL sina wasiwasi, next game wanakutana na mzee wa Good Ebening, bado wana London Derby: Chelsea & Spurs, hapo lazima wataacha points. Siku watakayokuja Old Trafford ndiyo tunamaliza kabisa matumaini yao msimu huu. 🤣

TROPHYLESS, AGAIN!!!
Wewe haupo Brighton tena?
 
Wana Arsenali wenzangu Jana tumeona jinsi gabriel na saliba walivyopoteana. Goli la kwanza kaunguza gabriel goli la pili kaumguza saliba yaani mtu ana dribble karibu yard 30 bila kukabwa. Hii inaonesha EPL saliba na gabriel wanaonekana bora sababu wanakutana na timu dhaifu sana.
Naomba matokeo ya Atalanta kaka
 
Hapo unajisahaulisha kama Gabriel Jesus alikua ndio namba 9 yetu kabla ya kuumia na option ndio ikawa Kai acheze pale.

Kwa hayo magoli/assist Kai amefaidika zaidi kwenye ushindi wa 0-6, 5-0, 4-1, 0-3 ambazo hizo mechi zote kama angekuwepo Jesus angeshinda pia and maybe more.
And maybe asingeshinda, tusisahau gabi ni mzee wa BCM
 
Mimi nitakuwa napita daily humu kuwakumbusha, mpaka mashindano yote 23/24 yaishe.

1. Carabao cup : ❌❌❌❌

2:EPL loading : FALSE HOPE 🔞

3: UEFA loading: FALSE HOPE🔞

4: FA Cup : FALSE HOPE: ❌❌❌❌
Msalimie teni hagi
 

Attachments

  • 20240406_221028.jpg
    20240406_221028.jpg
    137.3 KB · Views: 21
Wana Arsenali wenzangu Jana tumeona jinsi gabriel na saliba walivyopoteana. Goli la kwanza kaunguza gabriel goli la pili kaumguza saliba yaani mtu ana dribble karibu yard 30 bila kukabwa. Hii inaonesha EPL saliba na gabriel wanaonekana bora sababu wanakutana na timu dhaifu sana.
Tufafanulie jana Livakuku kwnn mmechana mikeka yetu...sio kuja kutupigia kelele hmu ndani tukipata Draw...nyny mmefumuliwa kabisa...Klopp mshenzi sana kapita na mkeka wangu
 
Ila mashabiki sijui tuna usahaulifu wa haraka

Juzi tu hapa Raya alikua shujaa wa penati against Portonina maana, mpiga penalty mzuri, akiweza kumsoma Raya, ana udhaifu eneo hilo.

Ila mashabiki sijui tuna usahaulifu wa haraka

Juzi tu hapa Raya alikua shujaa wa penati against Porto
Nina maana kwamba, kwa mpiga penalty mzuri, akim-study vizuri Raya, huo ndio udhaifu wake
 
🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY

✍🏾 Mikel Arteta ni Kocha ambae mpaka sasa kaonesha Potential kubwa, pengine kupambana kimbinu na Makocha ambao ni elite.

✍🏾 Lakini Arteta bado anajifunza, Arteta anaweza kukosea vile vile kukosea ndio kunamfanya awe bora zaidi kujirekebisha ambapo ana kasoro.

✍🏾 Kuna kuna kitu nataka kuzungumza hapa Kocha unaweza kumkosoa kwenye nyanja mbili uwanjani na mimi nataka kuzungumzia ili.

✍🏾 Kuna Technical plan, na Tactical Plan. hapa ndipo unaweza kuona maeneo gani kocha anakosea kwa muktadha wa Match husika, kumbuka ili uwe bora lazima vitu viwili vyote pamoja vifanyike kwa ufasaha kukosekana kimoja wapo ni udhaifu.

✍🏾 Nianze Technical plan : hapa nazungumzia uwezo wa mchezaji binafsi, au uwezo wa team kuweza kufanya vizuri uwanjani. kimsingi ni mafanikio uchezaji na skills za mchezaji binafsi kipindi anacheza au team inacheza, mfano ukokotaji mpira, kucontrol mpira, kasi nk

✍🏾 Hapa naweza kusema kuna baadhi ya squad selection kocha uwa inatuminya technical ability fulani sababu aina fulani wachezaji walio anza kutokuwa bora kwenye skills hizo kimchezo na Match inahitaji, mfano Tunahitaji mtu ambae atatupa Ball controll then unamuingiza Elneny ni profile tofauti, lakini pia Mara nyingi anafanya vizuri mfano sub jesus UCL dhidi bayern technically ilikuwa sahihi sababu skills Jesus na mahitaji kimchezo

✍🏾 Tactical Plan: Hapa sasa tunazungumza tabia za mchezaji binafsi au team nzima kiujumla kwa pamoja kuwa na uwezo wa kusoma mchezo kulingana na msingi uliopo kiuchezaji na mahitaji yake vitu kama vision, awereness, effectiveness, response time, mental , Stamina nk.

✍🏾 Au Kwa lugha nyingine kiufupi niseme ni uwezo mchezaji au team kumanage mikimbio binafsi, muda, na nafasi kulingana na maelezo kocha.

✍🏾 Kuna terms muda fulani pengine kocha anaenda Wrong, unaona kabisa mbinu imeshindwa kumzuia mpinzani kulingana alivyo kuja, mfano game Porto away, unaweza kuona failure ya mbinu yetu sababu ubora mpinzani.

✍🏾Kwenye mbinu jambo kujua ni unafocus na mpinzani namna gani nimkabili ili nifanikiwe iwe plan A au B.

✍🏾 Maeneo hayo mawili yanahusisha ata aina sub pia kocha aweza kwenda Wrong.

✍🏾 Na maeneo hayo baadhi nyakati ata Arteta anakosea, na nacho shukuru kocha anajifunza na kufanyia kazi madhaifu.

Note: hii haina maana Arteta sio kocha, ni moja kati kocha mzuri sana kizazi cha sasa, ambae anaendelea kuwa bora wazungu usema bado ana undergo deformation kwenye coaching ability na career yake, tupo tulipo sababu Mikel

Amigos
FB_IMG_1712905415506.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom