Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna waimba singeli humu walisema eti wanamtaka yeyote

Tukawaambia ombeni basi hata Barcelona,wanasema Bayern mwepesi 😂😂😂😂
Vipi pale Anfield na Atalanta? Twende UEFA tuwaombe tubadilishane? Mimi nikupe Bayern na wewe unipe Atalanta tupambane nao? Wewe ukimpiga Bayern utoke Europa uje uchukue nafasi yangu nusu fainali ya UCL. Mimi nikifungwa na Atalanta nirudi zangu London...
 
baada ya wao kupigwa na atalanta wamepungua umu, Aseee arsenal tumepga hatua mpka kufikia hatua ya watu kutucheka kutoa sare na man cty na bayern
 
Mi nachoshangaa Hawa wenzetu hawana vifua kabisa vya kujibu hoja mambo yakienda kombo...ila sisi hata tukipata matokeo sio tunakuja na kuongea humu...wao wanakwama wapi.... ImMrLiverpool unakwama wapi mkuu 🤠🤠...njoo utueleze hmu mnachukua kombe gani mpk sasa
baada ya wao kupigwa na atalanta wamepungua umu, Aseee arsenal tumepga hatua mpka kufikia hatua ya watu kutucheka kutoa sare na man cty na bayern
 
Wanetu kabisa since day one sijui nini kimewakumba
Screenshot_2024-04-13-16-38-42-150_com.mobilefootie.wc2010.jpg
 
Utaratibu wa kufanya mazoezi Emirates siku moja kabla ya game uko mwanzo haukuepo au mimi ndo nimechelewa kuufahamu mapema?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom