Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwangu muda mzuri wa bayern kutuadhibu ilikuwa jana.tulipaswa tukutane na suprise hasa.
Kama bayern wanatarajia kuiona same arsenal ya jana basi wanakosea.
Jana kulikuwa na a little panic hasa kwa idara ya ulinzi na next mechi vijana mentally watakuwa wameimarika.
Na pia natarajia bayern tofauti.
Game nzuri matokeo ya kawaida .
 
Hizo goli 13 umemsaidia wewe kufunga?
Tunaongea kwa takwimu mpaka sasa KAI ana magoli 11 mashindano yote kwenye epl 9 , wakati Gabriel anayo 4 epl 3 ,ntaenda na KAI kama kocha wako tunaangalia mchezaji mfungaji sio muhangaikaji
 
Nyie Arsenal mnachambuaga mechi zijazo utafikiri timu mpinzani watakuwa wamelala tu bila kujifunza kupitia previous match yani kanakwamba wao watarudi tu kama walivo cheza jana alafu wapo kwao its pathetic

all in all bado game iko 50/50 kwa yeyote yule but Descpline ni kitu muhimu sana ili watu wasije wakapatwa na presha
 
only delusional people (fans) will think arsenal is going to beat bayern today

kuna kitu kinaitwa experience over Quality
only time will tell
kabla mechi haijaanza nilisema kuwa
 
Hahaaa, sawa mkuu, tuko pamoja kwenye big NO, na hii kwangu ni afunge asifunge kwangu kai hapana, abadilike kwanza.
 
Jana nimchek game zote asee Madrid sio wa kuomba kukutana naye wanampira objective Sana hawana masiala ya pasi side ways then wanamwendo na technical wako classic Sana asee uefa sio masihara
Kuna waimba singeli humu walisema eti wanamtaka yeyote

Tukawaambia ombeni basi hata Barcelona,wanasema Bayern mwepesi 😂😂😂😂
 
Tunaongea kwa takwimu mpaka sasa KAI ana magoli 11 mashindano yote kwenye epl 9 , wakati Gabriel anayo 4 epl 3 ,ntaenda na KAI kama kocha wako tunaangalia mchezaji mfungaji sio muhangaikaji
Hapo unajisahaulisha kama Gabriel Jesus alikua ndio namba 9 yetu kabla ya kuumia na option ndio ikawa Kai acheze pale.

Kwa hayo magoli/assist Kai amefaidika zaidi kwenye ushindi wa 0-6, 5-0, 4-1, 0-3 ambazo hizo mechi zote kama angekuwepo Jesus angeshinda pia and maybe more.
 
Mmeanza kumkataa superstar wenu
,?
 
Partey efusiiiiii
Mtaoga kwenye oil chafu pale Allianz Arena , kiufupi mtakipata cha mtema kuni na hili li timu lenu la kuunga unga na super glue
Kama sisi ni WA kuungaunga nyny mtakuwa wa kunini🤠🤠...kuna mashabiki hamtakiwi kuwa mnapiga kelele hmu maana mna magenge ya uhalifu sio timu za mpira
 
Kipa alikosea, alitoka sehemu ambayo beki wake hajashindwa alikuwa ana asilimia 95 ya kuucheza ule mpira, hivyo alikosea kutoka vile, katoka kwenda kuucheza sio kujisogeza apasiwe kwa urahisi, hili ndio kosa la raya,

Tunakubali kukosea ni sehemu ya mwanadamu na kwangu nahisi kosa lile ni la kwanza kwake, hatusemi HAKUKOSEA, kafanya kosa nasi tunaona ni bahati mbaya.
 
Kwa kwior sina shida nae, kwangu naona ni siku mbaya kazini, plus yule sane ni hatari, nilitamani kumuona mjapan akianza kumzuia kwior, ila sio kesi hawezi kulaumiwa kwa jana.

Jesus kakiri maumivu ni sehemu ya maisha yake, kaishakaa sana benchi na bado maumivu huwa anakuwa nayo, labda afutwe kabisa kikosini.

Kwangu gabriel na maumivu yake madhari mwenyewe amesema yupo fiti kucheza basi ni anaanza mbele ya KAI.
 
Kweli kondoo ni kondoo. Wakati wewe unafikiria mechi ijayo mbadilike muwe kondoo wa tofauti, unadhani Tuchel naye atabaki vile vile tuu.

Tuchel ambaye amecheza fainali za UCL mara mbili, Moja ambayo amebeba Hilo kombe.
 
Mimi nitakuwa napita daily humu kuwakumbusha, mpaka mashindano yote 23/24 yaishe.

1. Carabao cup : ❌❌❌❌

2:EPL loading : FALSE HOPE 🔞

3: UEFA loading: FALSE HOPE🔞

4: FA Cup : FALSE HOPE: ❌❌❌❌
 
Tunaongea kwa takwimu mpaka sasa KAI ana magoli 11 mashindano yote kwenye epl 9 , wakati Gabriel anayo 4 epl 3 ,ntaenda na KAI kama kocha wako tunaangalia mchezaji mfungaji sio muhangaikaji

Hapo unaambiwa yupo kwenye msimu wake bora kbs, yaani wamotooo. Akikutana na kina Luton anafunga tu.
Masingeli asiwaongopee hapa mlipgwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…