Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

only delusional people (fans) will think arsenal is going to beat bayern today

kuna kitu kinaitwa experience over Quality
only time will tell [emoji354]
 
Tangu mwaka 2024 uanze

Sane ana assist 3, goal 0, from all competition

Gnabry hayupo kwenye form sababu ya majerui

Kane ni chizi aliebadili jalala, amechemka haaland home and away kwenye ukuta wa Bermuda triangle

Nisiongee Sana

Bayern anakufa chuma 3+
 
unaingia na matokeo yako uwanjani na stats za kukariri kijana

watu wasije wakakuta umejitundika bure kijana
 
only delusional people (fans) will think arsenal is going to beat bayern today

kuna kitu kinaitwa experience over Quality
only time will tell [emoji354]
Acha tu tuenjoy kushiriki. Tumemiss hili pambano kwa muda mrefu. Tunaweza kufungwa, sawa, ila wengine tunafurahia tu kuwepo kwenye pambano. Na ni kama tuna uhakika wa kuwepo tena msimu ujao. Tumejawa na ile ' Arsenal is back!' feeling.
 
Nimeingia Arsenal YouTube channel na nimekuta 'The Breakdown Live' na Adrian Clarke. Wako excited sana na hii mechi. Very good to see.
 
Nipo over excited ktk huu mchezo wa leo, natumaini Bayern atapigwa na kitu kizito
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom