Bro labda kama umeongea utani, lakini kama hii sababu umeitoa uko serious kiukweli naanza kuwa na wasiwasi na sisi baadhi ya Arsenal Fan pengine tuna matatizo. Kufunga goli Final haikupi ubora kuliko wengine.. Final anaweza kufunga yoyote inategemea mpira umekukuta mazingira yapi.Wewe jamaa unaposema 'Kai mmoja ni sawa na Gabriel 13' unaongea ukiwa umelewa au una akili zako timamu?
Huhitaji hata kuwa mazoezini kujua Jesus yuko kwenye fomu bora kuliko Kai Havertz.Kocha ndo anafanya mazoezi kila siku anajua nan Yuko fomu kwasasa na nan nimpange wap? Ndo maana unatakiwa umwamini kocha
Labda tumfukuze kocha apewe timu yeye. Basi Ateta asimamie mazoezi tu na kusimama uwanjani halafu huyu jamaa ampangie kikosi.Kocha ndo anafanya mazoezi kila siku anajua nan Yuko fomu kwasasa na nan nimpange wap? Ndo maana unatakiwa umwamini kocha
Hauna fact mjomba, pengine una njaa. Kunywa chai kwanza.Bro labda kama umeongea utani, lakini kama hii sababu umeitoa uko serious kiukweli naanza kuwa na wasiwasi na sisi baadhi ya Arsenal Fan pengine tuna matatizo. Kufunga goli Final haikupi ubora kuliko wengine.. Final anaweza kufunga yoyote inategemea mpira umekukuta mazingira yapi.
Sasa kocha anauchungu na timu kuliko wewe, wachezaje wake anawajua vizur ndo anachagua kikosi sasa wewe umekaa uko umekariri , japo mi siwez nkakubishia ndo mana we ni mtu wa kawaida na Yule ni professionalHuhitaji hata kuwa mazoezini kujua Jesus yuko kwenye fomu bora kuliko Kai Havertz.
david raya mchezo wake wa kutoka sana leo tena umechangia kufungwa goli la kwanza.. sijui jamaa anawazaga nini yani kuliacha lango lake mbali vile.
Tunaua mtu pale Allianz rafiki yangu. Arteta hii mechi ya leo ameshajua cha kufanya. Si unamjua jinsi jamaa anavyojua kuadapt? [emoji16][emoji16]
😂😂, bro sorry nimequote vibaya... Sikutaka kukubaliana na huyu jamaa anaesema Kai mmoja ni sawa na Gabriel 13.Hauna fact mjomba, pengine una njaa. Kunywa chai kwanza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Misukule haiwezi kukuelewa unamaanisha nini, vibwengo vya humu hua vinamsikiliza Masingeli kasema nini na vyenyewe vinashikilia humohumo. Masingeli Akiwadanganya Bayern ni Kitayose ya Ujerumani kwa Arsenyo hii ya King Kai lazima tuwapige kono la nyani maana hawana uwezo wa kupishana na pressing ya Arsenyo basi kondoo zote humu utazisikia zinakariri maneno hayohayo mpaka unajiuliza hivi hawa ni binaadamu wa wakawaida au ni maroboti yanayokaririshwa kila kitu na Masingeli[emoji16][emoji16][emoji16]Baadhi ya wadau humu tuliwachukulia poa sana Bayern. Na hii si mara ya kwanza. Tulifanya hivi kwa FC Porto, Tulifanya hivi kwa Aston Villa, kwa West ham na timu nyingine.
Bado pia tunafanya hivi kwa Manchester United. Tuwe na kiasi cha maneno. Reality ikitupiga, tunabaki kukimbia jukwaa.
Baadhi ya wadau humu tuliwachukulia poa sana Bayern. Na hii si mara ya kwanza. Tulifanya hivi kwa FC Porto, Tulifanya hivi kwa Aston Villa, kwa West ham na timu nyingine.
Bado pia tunafanya hivi kwa Manchester United. Tuwe na kiasi cha maneno. Reality ikitupiga, tunabaki kukimbia jukwaa.
Mkuu kuna watu wamezidi kuzichukulua poa timu pinzani.Me nadhani kwa level za ushabiki wako sawa tu, kitu kikubwa ni namna ya kucontrol hisia binafsi pale mambo yanapoenda ndivyo sivyo.
Angekuwa Arteta ndio anaongea hayo ningekuwa concerned.
Chief ulishawahi kufundisha mpira angalau level ya Madrasa, sunday school, nursery school?Kai Havertz kwangu afunge magoli muhimu au asifunge still sio mchezaji wa kuanza mbele ya Gabriel Jesus. No fuckin way!
And so sad Arteta halioni hilo kwa kuwa he's so dumb and deaf, hataki kusikia chochote kuhusu Kai, kaweza kum sacrifice Martinelli kwa kumtoa mapema ila sio Kai. Alikuwa na ubora gani wa kucheza all 85 minutes?
I can't pretend this, kwangu pia Kai ni big NO!
Nitarudia huu msemo wangu anytime, if we want to win at Allianz in the 2nd leg, Kai should be on the bench first. Then we can talk football, otherwise Arteta akishindwa kuliona hili atakua hana tofauti na Ten Hag.
Wewe aliekwambia Arteta anauchungu wa timu kuliko mashabiki ni nani?Sasa kocha anauchungu na timu kuliko wewe, wachezaje wake anawajua vizur ndo anachagua kikosi sasa wewe umekaa uko umekariri , japo mi siwez nkakubishia ndo mana we ni mtu wa kawaida na Yule ni professional
Ukifundisha wewe inatoshaChief ulishawahi kufundisha mpira angalau level ya Madrasa, sunday school, nursery school?
Basi mchagueni shabiki mmoja mnayemuamini akafundishe timu, arteta akapumzike.Wewe aliekwambia Arteta anauchungu wa timu kuliko mashabiki ni nani?
Kwahiyo Arteta kipindi anacheza mpira Everton alikua ana uchungu na Arsenal si ndio maana yake!?
Aisee humu ndani huwa watu wanaongea general sana...shabiki ambaye hapati chchte zaidi ya furaha au maumivu timu ikifungwa au kushinda na kocha ambaye ana benchi lake na wte wanalipwa kwa kufanya kazi hiyo nani anakuwa na uhitaji zaidi wa ushindi...lakini watu ikitokea changamoto kidogo watamaliza maneno yote....Basi mchagueni shabiki mmoja mnayemuamini akafundishe timu, arteta akapumzike.