🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻Muheshimu aliye kutangulia this is UEFA
mbili mbili kelele nying kumb mechi zenye huwa huchekMatokeo vip
Mkuu pale hakuna penalty kabisa...Saka kazingua big timeDenied a clear penalty
Refa ameonesha upendeleo wa hali ya juu. Mchezaji anapoteza mpira ndani ya 18 halafu anarusha mguu kwa kipa ili amdanganye refa kuwa ameguswa. SAKA alitakiwa straight yellow card ili kukomesha tabia hiyo.Denied a clear penalty
Dogo amefeli pakubwaMkuu pale hakuna penalty kabisa...Saka kazingua big time
henry henrySi mbaya . Huyu atabidi auawe kule kule Munich
Ingia uwanjani kampe mkuu🤠🤠🤠...inaonekana una roho ya kwann kwlikwli😂😂Refa ameonesha upendeleo wa hali ya juu. Mchezaji anapoteza mpira ndani ya 18 halafu anarusha mguu kwa kipa ili amdanganye refa kuwa ameguswa. SAKA alitakiwa straight yellow card ili kukomesha tabia hiyo.
Kuna makosa kidogo yalifanyika defensively, Bayern wakapita nayo. Kwao tukiwa makini zaidi, tunashinda.Nilisema discpline ni muhimu