Wanakokota mpira katikati. Partey atasaidia kupunguza hiliBasi Arteta anang'ang'ana na mtoto wake Kai mpaka mwisho wakati anajua hii michuano ni ya Jesus.
Toa na Jorginho weka Partey, tunashinda mechi hii.
Sindio huyu mlisema ni kipa la dunia au?david raya mchezo wake wa kutoka sana leo tena umechangia kufungwa goli la kwanza.. sijui jamaa anawazaga nini yani kuliacha lango lake mbali vile.
Huyu kuku wetu manati ya niniTulikubaliana tunampiga nje ndani lakin, alafu si mlisema Bayern kaisha choka? Em tumuadabishe aisee
Sa sijui itakuajeVip hapa wadau si mliwataka wenyewe Bayern hao hapo sasa
NdiyoVip hapa wadau si mliwataka wenyewe Bayern hao hapo sasa
Moja la wapi ?Trosaaaard, bado moja