Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,233
- 76,758
Mwaka juzi.
Liva inaongoza ligi.
Nyumbu wako nafasi ya pili.
Rio akasema timu yetu sasa imekua "We are joint top with liverpool"
Joint top. Ni nini hichi?
Huwezi amini nyumbu dunia nzima wakakariri hilo neno ma screenshots wakatuma wakitamka joint top.
Wakimaanisha eti wao pia ni wa kwanza kwakua points wapo sawa. Kwenye mpira ili kuamua nani anaongoza msimamo hua wanaanza points kama mnalingana yanakuja magoli.
Liva alikua amezidi magoli ndiyo maana akawa wa kwanza.
Hawa nyumbu walimaanisha nini walivyosema wanaongoza ligi kwa ushirikiano na Liver?
Ni miuijiza, lakini wakakomaa kwamba "We are joint top with liverpool"
Hawa siyo watu wa kawaida.