United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,237
- 6,604
Saka anakosaje Big chance kama hii
Arsenal kapata tutaNguvu ya soda imekata.Hawa Brighton mmewasahau walichowafanya msimu ulopita?
Huu mbinyo tulowapa hzi dakika 5 za mwsho ungezaa goli ingekuwa safi sana...maana walikuwa hawajui waende wapi...naomba sana Big Gabby awe sawa na ule mguu maana tunamuhitaji sana na ile spirit yake ya upambanajiDakika ya 44.
Brighton wanapata shot on target ya kwanza.