makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,428
- 108,438
Ga
Game ilikuwa inamuhitaji mnoo gabriel jesus. Naimani tungewaokota nyingi tu.Arteta aache kukariri. Kuna mechi za kashi kashi zinazomhitaji Kai, mfano wa mechi za City na Liverpool. Lakini game open kama hizi ambazo unategemea mpinzani awe anazuia muda mwingi, inapaswa uanze na natural 9.
Kwa leo ilipaswa aanze Nketiah au Jesus.