arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Ww ni mwali wetu...zunguka wee ila unakuja Nyumbani kama Kawa🤠🤠...Burnley wa kujichukulia ujiko ww una draw nao tena wakiwa pungufu na wakiwakosakosa...hakika gemu yetu na nyny inachelewa....kono la nyani safari hii linawahusu
Nyie badala y kumfunga bingwa muwe bingwa mnaleta ngonjera zenu za kitoto. Ndio mana ubingwa mtausikia kwnye chupa.
View attachment 2950767