Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Friends of Luton tumeweka kambi hapa leo mtaeleza
Screenshot_20240403-164208.jpg
 
Nimejitahidi kuchagua wachezaji watano wapumzike na wengine watano waanze leo ili waliocheza sana wapumzike na waliokaa muda bila kucheza wapashe. Naamini tunaweza kushinda tukiwa wasongo kuliko Luton.

Wapumzike/ Wakae bench kwanza vs wepi waanze badala yao:
1. Ben White - Tomiyasu aanze halafu tusitumie inverted RB
2. Kiwior - Zinchenko aanze halafu tutumie Inverted LB
3. Martinelli - Jesus aanze LW , atakuwa anaswitch na CF na RW, atakuwa anakuja kumsaidia Zinny ambaye hakabi vizuri kama Tomiyasu
4. Saka - Trossard aanze RW, atakuwa anaswitch na CF na LW. Trossard haihatiji sana kushuka kumsaidia Tomi, hivyo atakuwa outlet nzuri ya attacks.
5. Jorginho - Partey aanze ili aanze kuchangamka kupambania 90min, akichoka ndiyo Jorginho aingie

Nashindwa kuwampumzisha Odegaard, Gabriel, Saliba na Rice. Ningependa Nelson apate nafasi ila nadhani tunamhitaji Kai aanze CF akiwa flanked na Jesus na Trossard ili tuongeze urefu na tuwe na target man ikibidi tucheze long balls za ku knock down. Trossard na Jesus wakiingia ndani na kuwaachia kina Tomi na Zinny waoverlap, watakuwa kwenye nafasi nzuri za kufanya mauaji (nikimuona Trossard nje kidogo ya 18 au ndani, huwa napata amani maana najua akishoot tu, kamba).
 
kwa jinsi race ilivokuwa kali ya kuwania ubingwa.. sidhani kama arteta atawachukulia luton kiuwepesi..

nahisi itaanza XI ile ile ambayo recently imekuwa ikimpa matokeo.. na kisha badae atafanya sub ikiwa luton atakuwa kashakufa goli ambazo awezi kuchomoa.
 
Back
Top Bottom