Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

🖒🖒
FB_IMG_17119069793530699.jpeg
 
mbali na kuwa nimechek mpira pia stats hazidanganyi mlizidiwa
embu niambie utamuuaje mtu kama huyo hapoView attachment 2950259View attachment 2950261
Haikuwa game nzuri kwetu kwa kweli. Leo nimewaelewa Gabriel na Saliba tu ila wengine naona walikuwa chini ya kiwango.

Kizuri ninachoona ni vijana watasema msimu huu hatujafungwa na Liverpool wala City, ila sisi tumewafunga wao. Watajiona sasa na wao wanaanza kuwa tishio na wakiweza kucheza game yao kwa hawa wakubwa pia, watatawala ligi.
 
Kama umecheki mpira utakua pia umeona idadi ambazo hiyo possession ilikua tishio kwa Arsenal.

Arsenal kauachia mpira kwa kupenda, ingekua uchizi tungeshindana positional play na City.
city alikua anacheza mpira wakulazimisha kushinda ndicho kilicho wa cost

1 60% ya main city squad wana fatigue (uchovu) too much games na wanauhuroho wakutaka kuende toe to toe makombe yote
so far anaweza ambulia FA cup sababu kule upinzan upo kwa kibonde wake man utd sio siri labda aizarau mechi kama Liverpool

2 Arsenal chini ya arteta wamedevelop a strong mindset ya upambanaji soo far arteta kaweza, ku master sum approach za
pep mfano hii timu ya city halland sioni kama inamfaa asilimia
kubwa anakuwaga mchezaji hewa uwanjani pale ambapo anakutana na wahuni wanaoweza mmark 90% refer to Gabriel leo
ame mpocket nusu alie

4 LASTLY ni Clutch crucial players na ndicho chamuhimu sana hili nililiongea mwaka jana na ntazidi kuliongelea city kazingua ku waondoa wachezaji wake muhimu sana kama GUNDOGAN na Cole
cold palmer hususani huyu gundo ndie alikua anaamua sana matokeo yeye pamoja na, rodri waliweza, kumtembeza, kifua mbele pep as best coach with the best super team but sadly to anymore

5 favouritism ndani ya, kikosi inammalizaga pep pamoja na tetesi zake za kuwa egolist na mbaguz, haya yote nikutokana kutokuwa na jibu linaloeleweka juu ya wachezaji wake quality kama grelish anaanzishwa doku... alverz atachezeshwa halland hatakama hatokuwa na impact
 
Manchester City have had only 2 shots on target across their league matches against Arsenal this season.

Both were from corner kicks

Kuna kenge zinasema tulikuwa 'dominated'
View attachment 2950289
Tuliwazuia vizuri hata wasiingie ndani ya box. Tunawaheshimu sana. Hata Tottenham na Chelsea, pamoja na kuwa City angepata magoli, wasingecheza hivi. Tungekuwa fit na sharp zaidi kwenye attack tungeshinda leo.
 
William Saliba for Arsenal vs. Man City:

â—‰ Most touches (50)
â—‰ Most possessions won (8)
â—‰= Most duels won (8)
â—‰= Most clearances (5)
â—‰ Most possession won in middle 3rd (4)
â—Ž 3 tackles
â—Ž 0 fouls committed
â—Ž 0x dribbled past

POTM.
20240331_213429.jpg
 
Tungeamua iwe
Haikuwa game nzuri kwetu kwa kweli. Leo nimewaelewa Gabriel na Saliba tu ila wengine naona walikuwa chini ya kiwango.

Kizuri ninachoona ni vijana watasema msimu huu hatujafungwa na Liverpool wala City, ila sisi tumewafunga wao. Watajiona sasa na wao wanaanza kuwa tishio na wakiweza kucheza game yao kwa hawa wakubwa pia, watatawala ligi.
Open play, inawezekana tusinge pata matokeo. Coach was righ kwenda na lowblock with surprisal offensive missions
 
Back
Top Bottom