Aeko
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 599
- 1,362
uko na very strong matured mindHaikuwa game nzuri kwetu kwa kweli. Leo nimewaelewa Gabriel na Saliba tu ila wengine naona walikuwa chini ya kiwango.
Kizuri ninachoona ni vijana watasema msimu huu hatujafungwa na Liverpool wala City, ila sisi tumewafunga wao. Watajiona sasa na wao wanaanza kuwa tishio na wakiweza kucheza game yao kwa hawa wakubwa pia, watatawala ligi.
Arsenal ni still yupo maturity stage kwenda kwenye take off stage ita mpelekea aweze ku overachieve au under archive kutokana na neno phase ila sio kwamba ni top kama city na Liverpool atafika hapo coz ndo anasuka kikos cha kwenda kusumbua epl in the next 4 , 5 years atakuwa dominant
starting from next year fans wanatarajia kuona improvement kwenye sector mbali mbali zinazowafanya wasiwe full lethal
1 top Quality striker wakumaliza most of the all chances created and missed currently
2 sio siri partey anaweza, kuwa departed na hilo litapelekea
arsenal wazame mfukoni waongezee kwenyw watakacho kipatata
walete Top Quality number 6 ( CDM )
3 Mengine mtaongezea kwenye hili la development phase